azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

cirhuza daniel dollars - kwa salama lyrics

Loading...

kwa salama baba mungu
awalinda watu wake

hata nyota za mbinguni
si salama kama wao
hata nyota za mbinguni
si salama kama wao

mungu awalinda hivyo
katika upendo wake

wanak+mbatiwa naye
wanarehemiwa sana
wanak+mbatiwa naye
wanarehemiwa sana

hawavutwi toka kwake
kwa furaha wala shida

yeye ni rafiki mkubwa
kwa walio watu wake
yeye ni rafiki mkubwa
kwa walio watu wake

w+n+lishwa wanavikwa
wanafarijiwa naye
hata nywele
hata nywele za kichwani
zimehesabiwa
zimehesabiwa zote
hata nywele
hata nywele za kichwani
zimehesabiwa
zimehesabiwa zote

enyi kundi lake ndogo
mungu atawakingiza
na adui

na adui watashindwa
kwa uwezo
kwa uwezo wake mkubwa
na adui
na adui watashindwa
kwa uwezo
kwa uwezo wake mkubwa

akitoa, akiwapa
baba yetu hageuki
na mapenzi

na mapenzi yake ndiyo
wana wapatishwe wema
na mapenzi
na mapenzi yake ndiyo
wana wapatishwe wema
awa tetea wanyonge, mungu baba ni yeye
ni baba wa yatima tena mfariji wa wajane

milele na milele mungu ni baba
aee! milele mungu ni baba

milele na milele mungu ni baba
aee! milele mungu ni baba

apasua njia pasipo na njia
aee! milele mungu ni baba

aee!
chezea yesu! chezea yesu wee!

mikono! minkono!



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...