clint fierce - just be you lyrics
verse 1:
keep the grind moving
yeah you know i don’t stop mpake nile jasho langu
ustaa nikwa movie!
in real life..stay humble binadamu watakujaji watu husemaga vitu wanavyotaka
wengine husemaga vitu walivyodaka
they say things they don’t know ilimradi wakughasi
weka imani kwenye kazi kwani ubinadamu kazi, yeah..yeah!
you see they hide things
they fake things
sometimes even lie, (yeah)
some do things the right way
and say things they like, (yeah!)
see many of us here still want change but won’t try
just survive… leaving out our plans…now for who?
jijenge monyewe sio maneno
wekeza chaleo upate nakesho
maisha mazuri ndokesho yetu
shtuka kijana fuata malengo so punguza maneno!
chorus:
just be youuuuuuuuu!…
(it don’t matter what the people say)
just be yooooooou! (you already know what you need to do now! )..now just be you!
just be you! just be you! nanana! just be you! just be you!
just be you! it don’t matter what the people think! yeah..yeah!
verse 2:
kuishi kwingi ndokuona mengi
penye miti panakosa wajenzi
walisema maenzi
kivipi tunakosa mengi
tanzania yetu…siyawajenzi
n-gg- don’t pretend!
huku kitaa kuna shida balaa
mwenye nyumba kashashema funga geti kwa saa, ah!
uko kwa bar naunakunywa nanjaa
mpenda anasa saka pesa…usizikwepe karaha
usifwate mk-mbo…we fanya unachopenda kifanye vyema
natenda mema..mola atakulipa
take what you need to
not everything they say
mwengine anasema chuki mwengine hapendelei
jijenge monyewe sio maneno
wekeza chaleo upate nakesho
maisha mazuri ndokesho yetu
shtuka kijana fuata malengo so punguza maneno!
bridge:
jijenge monyewe sio maneno
wekeza chaleo upate nakesho
maisha mazuri ndokesho yetu
shtuka kijana fuata malengo so punguza maneno!
tupa nyuma satugange ya mbele
sio siri wanapiga kelele
hiyo kesho ni mbele
chamsingi tusivunjike moyo
kila kitu kinakuja kwa moyo now!
chorus:
just be youuuuuuuuu!…
(it don’t matter what the people say)
just be yooooooou! (you already know what you need to do now! )..now just be you!
just be you! just be you! nanana! just be you! just be you!
just be you! it don’t matter what the people think! yeah..yeah!
Random Lyrics
- meanna - 4500 lyrics
- loboda - не покидай (ne pokiday) lyrics
- yzomandias - 666 (mixtape version) lyrics
- amber riley - fill a heart lyrics
- chelsea cutler - you're not missing me[itsyo_boiiii remix] lyrics
- barbie princess and the pauper - free lyrics
- sean nelson - stupid & 25 (the incredibly sad shuffle) lyrics
- gøy - lånekassen lyrics
- willie alexander - close enough lyrics
- royal republic - stop movin' lyrics