
coll!e cln - today lyrics
Loading...
keen kala,keen kala,keen kala
picky ponky na keen kala
keen kala,keen kala,keen kala
it`s cold
success is chasing us
but i know we can’t run away
i’m never gonna run away coz
yes it’s you and i
so i’ll look into its eyes…
coz nimekalia mawe
sina pesa nimekalia mawe
nasaka pesa ndio nitulie nawe
nimake it big nifurahie nawe yeye
mnnh nimekwamana
niko kwa fix nimekwama na
back home me na kwamua mum
so inabidi nimeomba man
oh…..
saa hii hakujabadilika
bado naaminia
kutabadilika
i believe
bado ninajituma
nangoja miujiza
mambo itabadilika
kile nafaa kufanya nitaifanya today
sitangoja kesho
bado ninauwezo …
kama ni pesa nataka me nitaisaka today
sitangoja kesho
bado nina uwezo…
oh…
hi collie
Random Lyrics
- nasboi - friday night lyrics
- xkl - dies ist eine neue welt intro lyrics
- chromatic & mclovin (fra) - au réveil lyrics
- ellen ive ove - baby get up lyrics
- lagos - quisiera ser como tú (a capella) lyrics
- nina cobham - es de verdad (keep it going) lyrics
- gccdkid - balatar lyrics
- the 7 method - anymore lyrics
- meghan pulles - once upon a time (reprise) lyrics
- būnyamin - was hab ich schon zu verlieren? lyrics