collo - bazokizo lyrics
hahaha
siko kwa kanari
siko kwa kanariti(sindio sindiojack jack on the beat)
ilibidi niokoke ndio niwashe jiko, siko kwa c-n-lity juu niko ridho
ulimi bado rive risasi zipo mistari bado kali na mezani zipo
silabi simple kama aeiou, rudia mara twice aeiou
kati chini na za improtu subiri usichizi hii ni intro tu
two fingers in the sky, kunja ngumi into the side
sio ngumu kudecide tuzikwende tukislide
we can hook it through the night
thank the lord that am alivex2
kabeat kakidrop tu bazokizo
check in ukitap tu bazokizo
so follow if you want to bazokizo
no body can stop you bazokizo x2
bazokizo, bazokizo
bazokizo, bazokizo
wanauliza collo kwani ulienda okay wengi hawajui nilishabanduka
kama shujaaa si nilipata rufaa juu pasia za hekalu zilishararuka
k-mbe apa siri ni kuchangamka sasa anga zangu chonjo ninatambaruka
mi niko na yesu nilijanjaruka kutoboa hii maisha ya panda mashuka
kabeat kakidrop tu bazokizo
check in ukitap tu bazokizo
so follow if you want to bazokizo
no body can stop you bazokizo x2
bazokizo, bazokizo
bazokizo, bazokiz0
lets move to right move back to the left
kila mtu anafollow usipodo uko solo x2
two fingers in the sky, kunja ngumi into the side
sio ngumu kudecide tuzikwende tukislide
we can hook it through the night
thank the lord that am alivex2
kabeat kakidrop tu bazokizo
check in ukitap tu bazokizo
so follow if you want to bazokizo
no body can stop you bazokizo x2
bazokizo, bazokizo
bazokizo, bazokizo
Random Lyrics