azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

collo mfalme - bazokizo lyrics

Loading...

verse 1

ilibidi niokoke ndio niwashe jiko/ siko kwa carnality juu niko ritho
ulimi bado rithe risasi ziko / mistari bado kali na mizani zipo
silabi simple kama a.e.i.o.u / rudia mara twice a.e.i.o.u
kaa teaching is a calling naja impromptu / subiri usichizi hii ni intro tu

pre-chorus

two fingers in the sky/ kunja ngumi to the side
sio ngumu ku-decide, tuzikwende tuki-slide
we can boogie through the night/ thank the lord that i’m alive (-2)

hook

ka-beat kaki-drop tu bazokizo / cheki niki-come through bazokizo
so follow if you want to bazokizo / n0body can stop you bazokizo (-2)… bazokizo (-4)

verse 2

wanauliza collo kwani ulienda? / wengi hawajui nilisha banduka
kama shujaa sinilipata rufaa/ juu pazia za hekalu zilishararuka
k-mbe hapa siri ni kuchangamuka? / sasa anga zangu chonjo zinatambaruka
mi niko na yesu nilijanjaruka/ kutoboa hii maisha ya mapanda shuka

hook

ka-beat kaki-drop tu bazokizo / cheki niki-come through bazokizo
so follow if you want to bazokizo / n0body can stop you bazokizo (-2)… bazokizo (-4)

bridge

let’s move to the right / move back to the left
kila mtu ana follow / usipo do uko solo (-2)

pre chorus & hook (till fade)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...