azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

collo mfalme – jijue lyrics

Loading...

intro
heeeheee… hakuna kuyumba-yumba

boss kama kalapina / bado tuko on toes kama ballerina
kitako kaa utazame ujuzi / kesho pia si ni siku tutalamba kaa mchuzi eeh…

pre chorus

si kwa sembe tu / si kwa mlo tu. si kwa hela tu / si kwa mali tu

hook
mwanamme ni k-mjua yesu |jijue| enhe
mwanamme ni k-mjua yesu (-2) yesu yesu yesu yesu
mwanamme ni k-mjua yesu

verse 1
jina ni mingi tutaskia / moja lakini lina ngaa (ra)
hakuna aliyemsafi kama yeye / na si pozeh wala chibu au la? (na)
hii ni matata uliza kenzo naku-double dare/ najua ninapokwenda sitaj-potea
kwa neema yake ndio nanyenyekea / bwana asifiwe na si siri tunamtegemea

pre chorus
si kwa sembe tu / si kwa mlo tu. si kwa hela tu / si kwa mali tu

hook

mwanaume ni k-mjua yesu |jijue| enhe
mwanaume ni k-mjua yesu (-2) yesu yesu yesu yesu
mwanaume ni k-mjua yesu

verse 2

hakuna u-celeb bila pesa so / naweka imani kwa mungu
vuma uenee bila pressure bro/ siste pia juu nyumbani ndio nguvu
ni family kwanza kabisa/ kwa hii fani, nadra kubisha
heshima kwa babu na nyanya/ babangu na mama
msijali vijana twalisha watashiba

pre chorus

si kwa sembe tu / si kwa mlo tu. si kwa hela tu / si kwa mali tu

hook

mwanamme nik-mjua yesu |jijue| enhe
mwanamme nik-mjua yesu (-2) yesu yesu yesu yesu
mwanamme nik-mjua yesu

bridge (scooby –verse)

by the way, hii niile kondoo. ati? / hii niilie kondoo
watangoja sana niwe yimbo / ambia wao niko-strong than before
kama ni life? mimi nime ponda/ ingekuwa dishy basi ningenona
baba yangu sonko ati yeh ni donga. / maisha nywee- kunyooka

pre chorus & hook (till fade)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...