congress musicfactory - furaha lyrics
Loading...
furaha
[ubeti 1]
furaha, yako mw-ngaza kw-ngu
furaha, yako yakamilisha
furaha, yaf-kuza giza
kushika njia zako
furaha
[pambio]
uwepo wako ni furaha tele
nashukuru- asante milele
imba sifa- u maisha yangu
nguvuuuu, furaha
yangu
[ubeti 2]
furaha, yarahisisha mzigo
furaha, nguvu yangu vitani
furaha, nguvu ya utiifu
kushika njia zako
furaha
[pambio]
uwepo wako ni furaha tele
nashukuru- asante milele
imba sifa- u maisha yangu
nguvuuuu, furaha
yangu
[ubeti 3]
furaha, huniuwisha nafsi
furaha, penda ulimwengu wetu
furaha, kuelekea kwako
kushika njia zako
furaha
[pambio]
uwepo wako ni furaha tele
nashukuru- asante milele
imba sifa- u maisha yangu
nguvuuuu, furaha
yangu
furaha…..
Random Lyrics
- benny and the jet city band - strutter lyrics
- marturinhas - desejos e utopias lyrics
- the knobs - liwanag lyrics
- frente! - ordinary angels (ayonarra mix) lyrics
- lord of the lost - under the sun lyrics
- distinguisher - lay me to rest lyrics
- plasthic slash & rice master yen - three quarks for muster mark lyrics
- meet bros anjjan - mirchi shimle di lyrics
- adetu - fraierii isi iau notite 2 lyrics
- settore out - ballata dei treni lyrics