azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

choir amkeni fukeni moshi – mimi yesu lyrics

Loading...

mimi yesu nimemtuma malaika kushuhudua
maneno yale ya unabii yalionenwa na yohana,

aaah natazama, (naja upesi) oooh na ujira (na ujira) oooh wak-mlipa
(kila mtu) na kazi yake (na kazi yake) mimi mimi(mimi mimi) oooh ni
ya alphha(ni alpha) oooh na omega
(na omega) asema bwana (asema bwana).

aaah natazama, (naja upesi) oooh na ujira (na ujira) oooh wak-mlipa
(kila mtu) na kazi yake (na kazi yake) mimi mimi(mimi mimi) oooh ni
ya alphha(ni alpha) oooh na omega
(na omega) asema bwana (asema bwana)

naja upesi, shika sana ulicho nacho, usinyanganywe

nasi tuimbe (si tuimbe) tumtukuze
(tumtukuze) aliyekuja (aliyekuja) kutukomboa,

na yohana alikwenda kushuhudia, mambo hayo
alipofika nakuyaona aliamu

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...