d knob - elimu mitaani.com lyrics
(instrumentals)
[chorus]
nasonga ki stimu na ndoto kede (ai!)
elimu ni biashara ‘tutasomaje? (waambie, dee)
mitaani na maskani ndio ngome zenyewe (ngoja kwanza)
elimu mitaani dot com ‘ mnaionaje?
[verse 1]
ayo’ narudi nyumbani namkuta mama kibarazani
huku niko bwax halafu na chupa ya krest mf+koni
sura amekunja ‘eti sitaki skuli, kwasababu afande tizi ana niburuza kwenye madawati (duh!)
navaa (?) kupiga mzinga ‘anasema “umeshaanza acha mziki, ufanye maisha” nanyonga mjani kwenye rizla kisha najilipua nipate spidi ya kulalia
meseji ya demu w+ngu inaingia ile ki mkwara
anasema “kesho nikipata nisivae lile buti lililo chanika”
anasema ana nipenda kwasababu ya mikuno na sound zangu za mitaa (za mitaa)
tatizo lake ni mama huruma, ana mind kujivinjari na bling ‘mi superstar (bling!)
sasa hivi adabu anayo tangu anikute na mdogo wake wa mwisho nina mrukia juu ya kitanda cha mama yao wa kambo
kichwa kinaniuma kuandika commercial style
mika mwamba anasema kwa wapumbavu hard+core haina dili (haina dili)
demo niliyompa haisikilizi; na kila nikimfuata ana nirusha miezi miwili
ni miwili ni kijumlisha na maisha yangu ya (?) (duh!)
ni kama rеli ‘tangu enzi za ku freestyle
enzi za kutaka chance huku dj akinizimia mic
enzi za kubеba begi mgongoni na stori za kinyamwezi (ki mamtoni)
mfereji wa mitaani ‘elimu na utamaduni ni za thamani kushinda almasi (remember that)
freestyle zangu za maskani ni heshima kwa washkaji ‘sometimes ni msosi yangu mezani (respect that)
lengo langu nikupata ruhusa ‘atleast (?) zangu zikurudishe ndani ya jela
kwani nimechoka kuwarusha ‘wewe na huyo (?) wako mnavyo minyana kwenye kona (yeah)
ndani ya studio, mika anachonga ‘eti kwanini songi langu lina verse moja? namjibu verse mbili au tatu zinaniyeyusha ‘wakati raia hawataki tepu kununua
anasema track ina malaria ‘na hii ni kete ya mwisho ikija buma lebo inanitosa (ana kutosa)
nakuna kichwa nafikiria ‘najua nikirudi uswazi kama kawaida masela watasema nikitoa kali wanasema (uh+ huh)
ila wakitoa wao ni kali mimi huwa nasema tu (nasema tu)
hata mtaani tulipozaliwa, tukiwa tuna wakilisha mistari ‘wao walisema
ndio maana nawaharibu madada zao na (?) natega
ndani ya (?) records napayuka “bongo fleva”
hakuna elimu duniani (yeah)
kubwa kuliko ya mitaani ina thamani kuliko ya (?)
word up
[chorus]
nasonga ki stimu na ndoto kede (ai!)
elimu ni biashara ‘tutasomaje? (waambie, dee)
mitaani na maskani ndio ngome zenyewe (ngoja kwanza)
elimu mitaani dot com ‘ mnaionaje?
[chorus repeat]
nasonga ki stimu na ndoto kede (ai!)
elimu ni biashara ‘tutasomaje? (waambie, dee)
mitaani na maskani ndio ngome zenyewe (ngoja kwanza)
elimu mitaani dot com ‘ mnaionaje?
[outro]
nasonga ki stimu na ndoto kede (ai!)
elimu ni biashara ‘tutasomaje? (waambie, dee)
mitaani na maskani ndio ngome zenyewe (ngoja kwanza)
elimu mitaani dot com ‘ mnaionaje?
Random Lyrics
- louverture - witch girls lyrics
- kelvin momo - ikhaya lam lyrics
- fxnn & mulasko - prada lyrics
- david vidakovic - led lyrics
- jay worthy - westside worldwide lyrics
- capella grey - come my way lyrics
- ghost hippies - love (тиндер) lyrics
- paint - shattered hearts (october 29, 2013) lyrics
- ace armani - winter's mine lyrics
- thermalxvi - idc lyrics