d-ucool - tunaisha lyrics
d-ucool
‘tunaisha’
introduction
god please help me, bless my hustle
okay…
you know what my people?
this time the world has to know that i exist
d-ucool
‘tunaisha’
chorus
mungu babaaaaa, tunaishaaaaa
tuokoe! tuhurumie !
tunaangamia mia mia mia
mungu babaaaaa, usituawacheeeeee (usituwache baba)
tutie nguvu! tupe hekima!
tunaangamia mia mia mia (ni kweli baba)
verse 1
naanza verse hii,nikiwa na majonzi (say what)
kizazi cha leo nani awe mkombozi ?
vijana rika langu,vijana wadogo zangu
vijana wakubwa zangu,wamepotea vibaya (ni kweli)
nani wa kulaumu? uongozi duni?
au ni jamii? viongozi wa dini?
au ni sisi? aah! aah! aah!
no more blame game
it’s a high time we wake up
fight for the next generation
well, your life your choice but k-mbuka
umezaliwa na wewe uzae, right! ni kweli,uzae right!
chorus
mungu babaaaaa,tunaishaaaaa (kabisa tunaisha)
tuokoe! (tuokoe baba) tuhurumie
tunaangamia mia mia mia
mungu babaaaaa, usituwacheeeee (usituwache baba)
tutie nguvu, (alright) tupe hekima (verse 2)
tunaangamia mia mia mia
verse 2
yeah aah aah! kwako biashara,kwa wenzako hasara (mama pima)
wakinywa msahara,wakingojea madhara (aah)
maisha magumu,(sana) pesa ni tamu (ni kweli)
pombe haramu,nayo ni sumu (aah aah)
mungu yuko,usiharibu wenzako
kwa tamaa yako,ogopa maandiko (mama pima)
usiwe miongoni,kwa wanaochafua dunia
kwani huoni,vijana wanaangamia. d-ucool
chorus
mungu babaaaaa, tunaishaaaaaa (tunaisha baba)
tuokoe! tuhurumie
tunaangamia mia mia mia
mungu babaaaaa,usituwacheeeee (usituwache baba)
tutie nguvu! tupe hekima
tunaangamia mia mia mia
verse 3
yeah aah aah pombe haijengi,wazee walinena
nayo pia bangi,serikali inakana (ni kweli)
shule zinafungwa,hakuna watoto (we are marginalized you know)
risasi wanapigwa,majambazi watoto (yeah)
aah check ugatuzi,tukiwa wachache (006 county)
pesa kidogo,hakuna maendeleo (ni kweli)
aah mshapa wazee wakiondoka,nasi tufuate
kizazi kijacho,kitakuwa kweli?
mashamba yetu,mbuga zetu
madini yetu, (iron ore) yatafaidi nani? (hakuna)
mimba za mapema,kuwacha shule
kufight na life,na tena sio wife! d-ucool
chorus
mungu babaaaaa,tunaishaaaaa
tuokoe! tuhurumie
tunaangamia mia mia mia
mungu babaaaaa,usituwacheeee (usituwache baba)
tutie nguvu! (tutie nguvu baba) tupe hekima
tunaangamia (we are tomorrow leaders you know) mia mia
Random Lyrics
- urltv - aye verb vs. dna lyrics
- scott james - best song ever one lyrics
- homayra - darya kenar lyrics
- young cholo - no quits lyrics
- zwoa bier - zum schluss lyrics
- musicaperbambini - come la minestra lyrics
- zach brunotte - it's deeper lyrics
- official_lil small - suicidal lyrics
- liam whelan and andrew magalhaes - confession in the bishop stang lyrics
- irem kilinc - the pain never goes away lyrics