d voice - mungu baba lyrics
wanangu leo nina stress kibao
yaani akili yangu haiko sawa
wanangu kichwa kina vitu kibao
yaani naelekea kupagawa
baba mwenye nyumba
hela ya kodi nishaleweya
hataki maelezo yaani amenitimua
mubebe mchumbaa w+ngu wameniibia
kisa sina helaa yaani amenikimbia
basi mungu baba nikopeshe milioni k+mi nikifa ntakuja nayo
we sir god nikoposhe milioni tano nikifa ntakuja nayo
ah, hizi dharau zinanichosha
na ndo maana mungu w+ngu nakukopa onah!
mwajuma juzi alisema atakuja ghetto (hakujaa)
hakuja mchizi nikala detto (dharau)
amenifanya kama kichekesho (hakuja)
kanigandisha stendi fenichaa keko
basi mungu baba nikopeshe milioni k+mi nikifa ntakuja nayo
we sir god nikoposhe milioni tano nikifa ntakuja nayo
oh+oh+oh+oh+oh+oh
weka! aya twende muone maajabu yake
anaogopa mende ila anapеnda kifo chake
aya twende muonе uyo maajabu yake
anaogopa mende ila anapenda kifo chake
aya twende bingili chali chali
kifo cha mende chali
mama bingili chali chali (oh+oh+oh)
mpaka juu ya dali
kwanza mi mtoto wa watu sina nuksi mteke mteke
mi nikikupenda kwanza lazima unenepe
mi mtoto wa watu sina nuksi mteke mteke
mi nikikupenda kwanza lazima unenepe
kama unabisha njo tu date (uone)
njo tudate (uone)
kama unabisha njo tu date (uone)…
Random Lyrics
- hi-rez - beyond the grave lyrics
- sighsare - if they knew lyrics
- brandon ross - every day lyrics
- stuffaka tik - pause & path lyrics
- amethyst uk - be the one lyrics
- dexter & the moonrocks - sad in carolina lyrics
- iteachvader - robotnik celebrates a significant event lyrics
- *nsync - it's gonna be me (miami uptempo remix) lyrics
- мэнни дэйс (manny days) - эра(era) lyrics
- m&t music - soup lyrics