azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

d voice - nimezama lyrics

Loading...

hhm, habibi nikuulize swali, kipi cha kukuongeza
kama unaona bado sema kilichopungua
vingine vyote tayari madeko kunidekeza
umeniwezea haapo chali mi ushaniuwa
penzi lako mradi naweza kulikopea
mamlaka yenye kodi watudai na fidia

ah! maana raha zimezidi paka zanimwagikia
hmm! maana raha zimezidi paka zanimwagikia

uf+kweni
uf+kweni mwa bahari (ah! mikono)
mikono tumeshikana (ah! mawimbi)
mawimbi yameshamiri (nyoyo zime!)
nyoyo zimesemezana

kwako nimezama
kwako nimezama
kwako nimezama
kwako nimezama

aah! upande kanga ukinivalia
kiunoni shanga zinachungulia
ndo ugonjwa w+ngu, ndo ugonjwa, wa ah!
wala siendi kwa mganga wakaniibia
mama nyakanga nimemrithia
sio shida zangu, sio shida zaa
na ah! huba lako biriani
lenye shombo shombo ya mbuzi
aiy napenda unavyonisifu laini
ah! nafaa kwa matumizi
uf+kweni
uf+kweni mwa bahari (ah! mikono)
mikono tumeshikana (ah! mawimbi)
mawimbi yameshamiri (nyoyo zime!)
nyoyo zimesеmezana

kwako nimezama (kwako nimera niko rarara)
kwako nimеzama (kwako nime nimezaama)
kwako nimezama (oh nimezaa nimezaama)
kwako nimezama (kwako nime eeeh eeh zama)

hili penzi limemshindwa shetwani mkaa kichwani
mtaliweza nyinyi wapambe wakaa vibarazani
hili penzi limemshindwa shetani mkaa kichwani
mtaliweza nyinyi wapambe wakaa vibarazani



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...