azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dangeenius - pio gama pinto lyrics

Loading...

[intro]
the turn up is real
the turn up is real
dan, gee, jayne… (woo)

[verse 1: dan-gee jaynerale]
wana wonder kwa nini na sifu, na sifu, na sifu, na sifu (na sifu, na sifu)
na daily mahater n-z-di kashifu, kashifu, kashifu (kashifu, kashifu)
lakini sijali shetani kuzimu (shetani kuzimu)
simama imara na bwana asifiwe (bwana asifiwe)
simba wa yuda (simba wa yuda)
pokea sifa (pokea sifa)
hakuna mwingine (hakuna, hakuna)
alfa omega (woo, woo)
jehova shammah (jehova shammah)
jehova nissi (jehova nissi)
bwana wa mabwana (bwana wa mabwana)
bwana wamajeshi
nikwashow juu ya christ wanasema nina bore
nikwashow juu ya god wanaweza acommodate
hawa wasee (hawa wasee)
wako allergic to jesus
yet life zao wanangoja miujiza:
wanting the light but stuck kwenye giza
a branch of entertainers (no, no)
si mchezo wa kuigiza (woo)
siku za mwisho za karibia, na wewe kwa bar umecarry beer
wenzako kwa cyber wanatuma cv
wewe unatoka bar sasa hivi?

[chours: dan-gee jaynerale & othole]
i will keep praising jesus till they k!ll me (till they k!ll me like)
keep praising jesus till they k!ll me (till they k!ll me like)
praising jesus, till they k!ll me (till they k!ll me like)
till they k!ll me, till they k!ll me (till they k!ll me like)
pio gama pinto, pio, gama pinto (uh)
pio gama pinto, pio, gama pinto
pio gama pinto, pio, pio gama pinto (uh)
pio gama pinto, pio, pio gama pinto

[verse 2: othole]
pinto 38 mwaka 65 ndiyo time walimgonga
niko 38 tapita 65 yesu christo ni donga
basi hadi manda
basi hadi boda
injili ndio na gonga
nipate na swa
nipate na ngoso
yesu ndio na bonga
iwe ni kicks, iwe ni 808
snares ama conga
iwe ni kicks, iwe ni mawe
ndani ya christo sitasonga
kitambo kuseti kigode (eh)
ketepa kuchew (chew) na gomba
kitambo ni vita (eh)
kitambo nijue
chini gongwa
kitambo mwafrika jinga, jinga, danda tena sana
na sasa mwafrika niko stronger na mbele nina songa
yesu kando yangu, neno ninasoma, life yangu ni bomba
yesu kando yako, roho anabisha, fungua anapogonga

[chours: dan-gee jaynerale & othole]
i will keep praising jesus till they k!ll me (till they k!ll me like)
keep praising jesus till they k!ll me (till they k!ll me like)
praising jesus, till they k!ll me (till they k!ll me like)
till they k!ll me, till they k!ll me (till they k!ll me like)
pio gama pinto, pio, gama pinto (uh)
pio gama pinto, pio, gama pinto
pio gama pinto, pio, pio gama pinto (uh)
pio gama pinto, pio, pio gama pinto

[outro: othole]
pio gama pinto, pio, gama pinto
pio gama pinto, pio, gama pinto
pio gama pinto, pio, gama pinto
pio gama pinto, pio, gama pinto



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...