darassa - love is free lyrics
maneno yanaingia sikio hili
yanatokea upande wa pili
sio siri ananiendesha akili
ni kama chombo cha usafiri
furaha inaboa ukikosa
ni kama simu bila vocha
na kukupata wewe
ndo ushindi tosha
wanasema sisikii
wanatoa kasoro i don’t see
nina kila sababu za kukupenda
give you my love for free
love is free
i give my love for free
nina kila sababu za kukupenda
my love for free
give you love for the love
what you do for love
do me love for the love
nanite
sitaki na mapenzi ya mitete
kama unaniamini usinitete
sitaki na mapenzi ya mitete
love don’t lie usiseme utapretend
na kwenye mapenzi chuki haijengi
sing alonge you are my lover
you are my friend
tesa niko hapa kukutake care
deka umapata pa kudekea
ukicheka na kio kina kuchekea
tatuanga nitapepeta na kuchekechea
wanasema sisikii
wanatoa kasoro i don’t see
nina kila sababu za kukupenda
give you my love for free
love is free
i give my love for free
nina kila sababu za kukupenda
give you my love for free
give you love for the love
what you do for love
do me love for the love
ooh yeah yeah yeah yeah
nanite
sitaki na mapenzi ya mitete
kama unaniamini usinitete
sitaki na mapenzi ya mitete
Random Lyrics
- together pangea - no oz lyrics
- juliana joya - tell me more lyrics
- hank thompson - when you've seen one broken heart lyrics
- taurus 77 - wid3body lyrics
- bramsito - désaccord lyrics
- batuflex - hatırladığımda* lyrics
- mvhbd - rather be alone lyrics
- lil e - shermaine walk - lor ree$e lyrics
- young boss (bakaa boi) - hope lyrics
- nino tristano - così partii soldato lyrics