darassa - nana lyrics
nana nana nanananana
nana nana nanananana
ukikata mti tunapanda mti
sina size ya kuvaa sipimiki
nikiwasha mziki w+ngu mtiti
fiti kali kiti beat mikiki mikiki
hii tabia, tabia tunakomesha
maisha ya kuchukia watu unajitesa
mwanamke hapendi stress, mpe presha
anataka mwanaume anasaka pesa
kizuri kinajiuzaga promotion
nadhani hawajakujuaga, waonyeshe
doado mwendo wa ngamia slowmotion
shughuli nasimamia kwa my tension
waliosema hatufiki wanajiuliza vipi?
macho kodoa kodoa
sijawekewa ngazi sijabebwa kwa lifti
nimetoboa toboa
waliosema hatufiki wanajiuliza vipi?
macho kodoa kodoa
sijawekewa ngazi sijabebwa kwa lifti
nimetoboa toboa
kama kusubiri tumesubiria sana
imeshakuwa long time eeh
mvumilivu tumevumilia sana
imeshakuwa long time eeh
kama kusubiri tumesubiria sana
imeshakuwa long time eeh
mvumilivu tumevumilia sana
imeshakuwa long time eeh
nana nana nanananana
nana nana nanananana
na baby girl you gon k!ll somebody
juu chini move shake for your daddie
fanya kama vile unatafuta mtaji
uzuri wa nyumba choo ndo inavutia wapangaji
mwanaume wa kazi nishashiba ugali
mwanaume wa mzazi na kisu kikali
chinja chinja shusha mizigo kama bandari
winja winja kimbiza mtu kwa daktari
usinipe kitanda sitaki huwaga silali
nionyeshe kitanda wapi nataka kuparty
mtu hatari, mtu hodari, mtu mgangari
mtu hee kanyaga uone msumari
dede dede simama tembea
tete tete mtoto kaongea
bebe bebe ukitaka bembea
naifunga kazi nimeisomea
mwagika mwagika mwagika mwaa
katika katika katika kaaa
aiyayayayayaya..
waliosema hatufiki wanajiuliza vipi?
macho kodoa kodoa
sijawekewa ngazi sijabebwa kwa lifti
nimetoboa toboa
waliosema hatufiki wanajiuliza vipi?
macho kodoa kodoa
sijawekewa ngazi sijabebwa kwa lifti
nimetoboa toboa
kama kusubiri tumesubiria sana
imeshakuwa long time eeh
mvumilivu tumevumilia sana
imeshakuwa long time eeh
kama kusubiri tumesubiria sana
imeshakuwa long time eeh
mvumilivu tumevumilia sana
imeshakuwa long time eeh
nana nana nanananana
nana nana nanananana
nana nana nanananana
nana nana nanananana
Random Lyrics
- trusttt - real freak lyrics
- керомон (keromon) - странно (strange) lyrics
- amédé ardoin - valse brunette lyrics
- leroyce - in control lyrics
- baka - pretese lyrics
- haya the hellcat - babycall lyrics
- rehnasha r s - test lyrics
- tsunami j - mundane - 9031986 lyrics
- blanco - giulia lyrics
- dj sy - el bikini lyrics