darassa - umeniroga lyrics
umezaliwa malaika
unahitaji mtu akuongezee mbawa tu upae
nimekuletea heleni na cheni jina lako
kwenye kidani leo uvae
nataka ajiskie special special
nifanye atulie kasettle kasettle
my baby face mobetto mobetto
namletea loketo loketo
do i believe in you no doubt
and my love is true don’t doubt
au nishike spika aseme loud mama
there is no one like you i feel proud
ukicheka ukinuna, ukisеma ukiguna
mzuri wa sura, kakujalia mama
wakujiongeza, anavyopendeza
umkutе akicheza mikogo ya papa
naona naona naona kama umeniroga
wanasema umeniroga naamini hujaniroga eeh
naona naona naona kama umeniroga
wanasema umeniroga naamini hujaniroga eeh
no campaign to the one my baby huna mpinzani
na kama ningeweza jina lako ningeandika angani
au nitoe moyo nikupe ili ushike kiganjani
haya mapenzi sasa mashetani yamepanda kichwani
mtoto laini laini, dagaa
michezo ya kachiri kachiri, sagaa
napigwa mawe mi bado
napigwa vita nisiwe nawe my girl
do i believe in you no doubt
and my love is true don’t doubt
au nishike spika aseme loud mama
there is no one like you i feel proud
ukicheka ukinuna, ukisema ukiguna
mzuri wa sura, kakujalia mama
wakujiongeza, anavyopendeza
umkute akicheza mikogo ya papa
naona naona naona kama umeniroga
wanasema umeniroga naamini hujaniroga eeh
naona naona naona kama umeniroga
wanasema umeniroga naamini hujaniroga eeh
look at you girl umenikamata
i repeat myself back to the matter
you and i, you and i girl
you and i, you and i love
look at you girl umenikamata
i repeat myself back to the matter
you and i, you and i girl
you and i, you and i love
Random Lyrics
- césar menotti & fabiano - fogo de amor (part. daniel) lyrics
- harrysong - chi chon thin lyrics
- batuflex - kaçırmışım alkolü* lyrics
- bad nostalgia - glucose lyrics
- dogbowl - sidewalk open lyrics
- 6tag6 - независимость (prod. by senpai) lyrics
- brian lynch - (medley) rose of tralee lyrics
- holdudvar - 8172 lyrics
- magix enga - power lyrics
- miami4k - toujours lyrics