darassa - waiter lyrics
i’ve been counting my blessings
when god says yes no man stress you
man tell the truth man don’t lie
huwezi kutembelea kiatu changu hakikufai
kila mmoja anapenda kufurahi
i take care myself am doing fine
nataka kuishi milele i don’t wanna die
smoke cigarettes drinks to refresh mind
waiter, waiter, waiter
niongeze another round
waiter, waiter, waiter
nataka another round
waiter, waiter, waiter
niongeze another round
waiter, waitеr, waiter
chupa inakata chupa inarot
moja baridi hakuna story
dem girls wanna have fun not boring
na ukispеnd wanaplans za magoli
nidondoke hapana naenjoy najichanganya
mkikutana marafiki tabia zafanana
na hashtuki ishakuwa usiku sana
akili inanimbia kuna kitu cha kufanya
namwingie msichana namletea za ujana
k+mbe ananikua bana shame no manner
naona nyota nyota ishaanza kuchanganya goli
i gotta go one to no, one for the road
waiter, waiter, waiter
niongeze another round
waiter, waiter, waiter
nataka another round
waiter, waiter, waiter
niongeze another round
waiter, waiter, waiter
(the mix k!ller)
Random Lyrics
- witchseeker - sin city lyrics
- tyne-james organ - the fire lyrics
- yvngjvy - pikachu lyrics
- $uicideboy$ - avalon lyrics
- jón jónsson - ástin er hrein lyrics
- j-ax - salsa lyrics
- миговик (megoweak) - город надежд (city of hopes) lyrics
- 1986zig & bozza - goldraub lyrics
- сьюзи ли (suzy lee) - не кличе (not calling) lyrics
- coco kiss - boyz lyrics