darassa - yumba lyrics
yumba eeh
yumba yaani darassa na kondeboy
(255 champion boy, classic)
yumba, yumba
aga nikiwind my beiby
jipinde pinde kama kama nyoka
pinda mgongo unibebe
nisije nikadondoka
(ooh nah nah nah nah)
njiani napita pita samahani sister
macho kama unaniiita yamekolea shisha
mwaga mapicha picha yasambae insta
yaani kesho kukicha jana kama vita
suruali pale viatu kule
usilale lale kaa mkao tule
njoo tukufunze kozi ambazo huwezi kupewa shule
njoo nikutunze baby huwezi kufanya kazi ya bure
ukiwa na king agiza tu utaletewa
ukiwa queen kwenye joto utapepewa
jiongeze jiongeze nishanogewa
napenda kuyumba yumba nishalewa
nasema baby apo kati, baby apo kati
ata mabubu wanatoaga sauti
baby apo kati, baby apo kati
hata jambazi sugu linapigaga saluti
i say stop!
twende taratibu kama unasinzia(yumba yumba)
akiwa karibu unamk+mbatia(yumba yumba)
eeeh twende taratibu kama unasinzia(yumba yumba)
and i say(yumba)
aliyеkaribu unakamatia(yumba yumba)
and i say(yumba)
oooh nah nah nah nah
funga funga mishikaki
funga no paki
rhumba takitaki
dole gumba hapi
yumba juu, nyumba chini, yumba katikati
yumba yumba mwili kama umelegеa nati
samahani namba unayopiga haipatikani
kama umepoteza uliza google watakupa ramani
kama una chuki ota mbawa upae angani
au pasua ardhi uingie ukae ndani
bado nawagongea gongo
nakomalia mchongo, nawashushia vigongo
umevalia usongo, wa mangoma msondo, eeeh eeh uongo
anajua mungu mwenye mbingu ardhi na udongo
mzee kasema sesema
gosha mperampera
nambeba sanchoka
na nyuma kashafunga tela
i say stop!
twende taratibu kama unasinzia(yumba yumba)
akiwa karibu unamk+mbatia(yumba yumba)
eeeh twende taratibu kama unasinzia(yumba yumba)
and i say(yumba)
aliyekaribu unakamatia(yumba yumba)
and i say(yumba)
oooh nah nah nah nah
oooh amechanganya kushi na nyagi
kalewa wamembeba
(anatokaje?)
alijifanya mjuaji k+mbe mimba haikwepi leba
(aaah itakuwaje?)
akaagiza agiza mama totoro
nisha agiza agiza chumba godoro
naitandiza nyumba mpaka tomorrow
Random Lyrics
- googly eyes - glad i don’t have to (demo) lyrics
- raly ray - 7 de febrer lyrics
- okoliczny element - sport-tofcy lyrics
- karnig sarkissian - yeraplur lyrics
- cortex (rappeur) - arnaque crime et politique lyrics
- raindear - coins lyrics
- digbar - f**k them opps lyrics
- uncle outrage - our common struggle (wednesday night heroes cover) lyrics
- darius rozinskas - dievo dovana lyrics
- the weeknd - the birds interlude (grill z remix) lyrics