davi noriega - diamond lyrics
diamond lyrics
[intro]
hahahaha
yo
i go by the name davi noriega (yeah)
its bako time
verse 1
nadondoka kama chopa (yeah), na mdundo ulivyo shkopa
haya mashairi nayotema, ni yangu wala sijakopa (woo)
muziki unanidai sana, cha ajabu sijawahi ukopa (yeah)
mike ikikutana na mimi inamk+mbuka big poppa (aanhaa)
2pac makaveli ama nas escobar (huh)
i run this city, wasafi wamenipa mikoba
sa wewe chawa chonga chonga, kesho uhesabu visoda
muziki sio biashara ya samaki ikadoda
boom shakaraka, yani priii mpaka macca (skkrraaa)
ukimshika usimwachie, huyo yvonne chakachaka
yani paka rapper (rapper), me ni futa duster (duster) (yeah, yeah)
mpaka rozay ananijua (yeah yeah) diamond wakawaka (yeah)
kama ku keep shinning, na keep shinning
mtoto mpe veve (yeah), ili a keep whining
najiuliza why me?, najiuliza why me?
wanasema ninafanya, zaidi ya lil wayne (yeeah)
[chorus]
i’ma diamond rapper (rapper), i’ma diamond rapper (yeah)
i’ma diamond rapper (rapper) yeah yeah
i’ma diamond rapper (rapper), i’ma diamond rapper (yeah)
i’ma diamond rapper (rapper) yeah yeah
huwezi nikamata (mata), huwezi nikamata (yeah)
huwezi nikamata (yeeeeah)
huwezi nikamata (mata), huwezi nikamata (yeah)
huwezi nikamata (weeeh)
(i keep shinning)
verse 2
sitaki niweke ligi na watoto wa siku hizi
watoto wanawaza uchawi, kutembea na irizi (true)
hawataki kujituma, wao wanawaza wizi (truuuuuuue)
ukiwakanya utasikia irizi wari irizii (yeah)
industry imeuzwa, mabepari tushatimba
lete kali me nina dry (shhhhh)
tu tuliwashe kimba
me ni chata kwa wahuni, chocho zote ninatimba
wale soft mcees, wakiniona wanachimba (aah)
muziki kama w+ngu, naufanya style zangu
mikunjo kama yote, mixer michezo ya zanku
kama tupo naija, we niletee ubantu (bantu)
nikichanganya na mitungi, nakuwa fyatu
kama promo (yeah), sitaki kusikia (aah)
ukipenda dancehall, dance na hii pia (yeah)
me ni rapper, ambaye naweza k+mpa promota bia (aah)
nikimsoma jinsi alivyo, mshenzi wa tabia (alaah)
[chorus]
i’ma diamond rapper (rapper), i’ma diamond rapper (yeah)
i’ma diamond rapper (rapper) yeah yeah
i’ma diamond rapper (rapper), i’ma diamond rapper (yeah)
i’ma diamond rapper (rapper) yeah yeah
huwezi nikamata (mata), huwezi nikamata (yeah)
huwezi nikamata (yeeeeah)
huwezi nikamata (mata), huwezi nikamata (yeah)
huwezi nikamata (weeeh)
(i keep shinning)
[outro]
whooo
Random Lyrics
- tryhardninja - spend the night lyrics
- tanashee - faith✞line lyrics
- dagames - you're better off lyrics
- dania - friends/strangeres lyrics
- sentino - drama lyrics
- silvana estrada - detesto en mí lyrics
- wax the heart - tears flow down lyrics
- nadia infirri - again (feat. piphemi) lyrics
- rina whorgan - virgin lyrics
- igobylc - sinister (cordae freestyle) lyrics