davy kamanzi / dvk - nairobi tofauti (demo) lyrics
[intro]
yo, dvk
check
piga toja na kabuti
ehen
yo, check
[chorus]
bonga biz na ma+big fish (mm+hmm), piga toja na kabuti (ayy)
runda (ayy), easich (ayy), ni nairobi tofauti (ehen)
sonko ama sufferer, renga umo ni mauti (my fren)
karen (ayy), kibich (ayy), ni nairobi tofauti (ayy)

karen (ayy), kibich (ayy), ni nairobi tofauti
[verse]
morio tembea siku fulani, hapo kando kilimani (what?)
with the lights and all the honeys (ayy), where the n+ggas getting money (ayy)
majambazi inadi, leta nangos ama baki (my fren)
sanse (ayy), kamata (ayy), nenda wakalale ndani (ehen)
justice for samuel, bana, kesi bado ati ikuwe resolved? (resolved?)
babu aligeuza buda mboga, sasa hawezi evolve?
slay king kama mimi (ayy), mbona kanyaga umo? (why?)
juu ukipatana na mbogi (ayy), jua ni the end of the road
[chorus]
bonga biz na ma+big fish (mm+hmm), piga toja na kabuti (ayy)
runda (ayy), easich (ayy), ni nairobi tofauti (ehen)
sonko ama sufferer, renga umo ni mauti (my fren)
karen (ayy), kibich (ayy), ni nairobi tofauti
bonga biz na ma+big fish (mm+hmm), piga toja na kabuti (ayy)
runda (ayy), easich (ayy), ni nairobi tofauti (ehen)
sonko ama sufferer, renga umo ni mauti (my fren)
karen (ayy), kibich (ayy), ni nairobi tofauti (ayy)
Random Lyrics
- dave + sam - home lyrics
- calix (philippines) - nandito lang ako lyrics
- denisson silver - saco de pancada lyrics
- majesty (band) - mavericks supreme lyrics
- sharpblade n - roses and violets lyrics
- clavish - again lyrics
- new london fire - arizona lyrics
- 56 apartament - the right way lyrics
- animepapi - lost lyrics
- gerald (gee$) sheppard - paper chase lyrics