davy kamanzi / dvk - tafuta sponyo lyrics
[intro]
dvk
cheki, times are tough, man
sometimes you have to use your bodily assets to
get the bag, you know what i’m saying?
ayy
[verse 1]
najua karembo kanasomea uon
anapenda kuji+nice, frol!cking with all her friends
shepu yake ajabu, huwezi comprehend
kila boy anamdai, wish they had her in their bed
but they ain’t getting no bread and she’s tryna be a boss
tryna get some likes on the gram with all the filters
kama huna class, anapendanga ku+floss
ye mwenyewe anamumunya njugu kwake bеdsitter
unadai ku+party naks, kejani kunaboo
lakini mabeshtе jo, they won’t pick up the phone
unataka kwenda salon juu nywele ime+beat
lakini mf+ko, jo, pesa usha+delete, ayy
sasa unatembea loso
ukasalimiwa nje ya club
mzae amekuroga na ngoso
baby get your money up
[chorus 1]
uko nyumbani na bado unasaka form?
(ayy, baby tafuta sponyo)
umeboeka na unadai kuwasha ndom?
(ayy, baby tafuta sponyo)
unadai konyagi lakini umekosa job?
(ai, baby tafuta sponyo)
unakufa njaa na mandazi ya 20 bob?
(ayy, baby girl tafuta sponyo, ayy)
[verse 2]
najua kasee kanasomea hapo strath
piga toja na kabuti kila siku, looking dapper
madem wanamwona ye ni tall, dark and handsome
each of them dreaming to be loved by such a man
wanamsho, “what’s the plan? i wanna go out on a date”
hana pesa ya ku+burn, watauma vako
focus yake kwanza ni putting food on his plate
buda anasunda keki kwa jiko ya charcoal
unadai ku+buy njumu za nike juu ni moto
lakini unasaka pesa ukicheza lotto
unadai kupiga watu tekken hapo tric
lakini ulichoma pesa ukipiga liqs, ayy
sasa una+chill nje ya bar
then you see her pull up with the car
matha anasaka boy kunyandua
n+gga, take your cheque ukimaliza kurarua
[chorus 2]
boys wako na rieng but hudai kupanda matatu?
(heh, buda tafuta sponyo)
unatafutiwa deni na ule boy kimatu?
(wueh, buda tafuta sponyo)
tokens zimeisha, ulikuwa unacheza fifa?
(ayayayayayaya, buda tafuta sponyo)
una ubao but umechoka kula njiva?
(eh, buda boss tafuta sponyo)
[bridge]
unadai ku+party naks, kejani kunaboo
(sasa unatembea loso)
lakini mabeshte jo, they won’t pick up the phone
(mzae amekuroga na ngoso)
sasa una+chill nje ya bar
(ukasalimiwa nje ya club)
then you see her pull up with the car
(n+gga, get your money up)
unadai ku+party naks, kejani kunaboo
(sasa unatembea loso)
lakini mabeshte jo, they won’t pick up the phone
(mzae amekuroga na ngoso)
sasa una+chill nje ya bar
(ukasalimiwa nje ya club)
then you see her pull up with the car
(n+gga, get your money up)
[chorus 3]
umeleta wageni home lakini huna ugali?
(eh, buda tafuta sponyo)
unasaka nginyo na huna maji nyumbani?
(hmm, baby tafuta sponyo)
ati ile tenje mpya unadai ni thao tisa?
(wueh, buda tafuta sponyo)
ati nywele ni thao saba na hutaki kulipa?
(ah, baby tafuta sponyo)
lover toka ng’ambo, madam ametoka moshi
(eish, buda tafuta sponyo)
tess amekuleta club na we ndio ulipe bill?
(ai, baby tafuta sponyo)
aunty wa harrier anakudai shuma ya doshi
(ii, buda tafuta sponyo)
otis apige miti, bora tu uko na pill
(ayy, baby tafuta sponyoooo)
Random Lyrics
- danica bryant - ready to bite lyrics
- john harvie - not another song lyrics
- missmi - blood lyrics
- 1cey - again lyrics
- эйфория (eyforia) - россия (убийцы (killers)) lyrics
- steve satten - the waiting game lyrics
- rokero & gotay "el auténtiko" - la solicitud lyrics
- doll spirit vessel - what stays lyrics
- sølace - if only i knew how (by luca.) lyrics
- music street - last seen lyrics