deniro ule wah - cheza na rada lyrics
intro
eazy easy easy
pull that chune again selector
you know what time it is
theqatheqa,145 repping fi deejay
kluless
deniro
cheza chin
kaa zimenyanya,zimeririma,zimesimama,zimekuonyesha zinakubamba
wee kidim(wee kidim)
na kaa unabonga biashara thenashara na una bonga points
wee redeem(wee redeem)
cheki venye wanatetemeka wakijiita shakespear
ita big mo,ita cool joe,ita shakes pia
nikiappear si unajua wanadissapear
so hot nikifanya reggae wataniita burning spear
na katika ile hali ya kukatika
utadhani moses amekam juu ya vile waba inakatika
tunahesabu madakika juu najua itafika kuskizwa kote africa
chorus
this year tumechoma rada
mangoma kibao hadi next year wanadai kujua rada
rada ni kusoma rada
na uking’am kuna venye pia unaeza cheza na rada
juu rada ni kurush,juu rada kibao
rada ya mashash na mzinga ya kibao
kanyagus pale,rada ya mabudeng
nikiskiza dose,mashash na kibeng
(rada rada?cheza na rada
rada?cheza na rada)x2
flaco
rada chafu kila saa
makarao kila side
middle finger to the sky
thika connect hadi 145
hatudai watiaji walai
usinihande nina sh0r- nina rende ya mabrathee aye
utavutiwa tu masoki hizo noma ebu sare aye
ni dakika twenty past saa k-mi
set up shop nikaa ni kampuni
nasafisha rada nacheza na sabuni
hii ni ya marasta,babi,wahuni
ikibamba sana ingizia sakafuni
chorus
this year tumechoma rada
mangoma kibao hadi next year wanadai kujua rada
rada ni kusoma rada
na uking’am kuna venye pia unaeza cheza na rada
juu rada ni kurush,juu rada kibao
rada ya mashash na mzinga ya kibao
kanyagus pale,rada ya mabudeng
nikiskiza dose,mashash na kibeng
(rada rada?cheza na rada
rada?cheza na rada)x2
Random Lyrics
- chkbns - moon pills lyrics
- maly elvis - ***** (kurwa) lyrics
- einshine - always be ^o^ lyrics
- бикей декада (dekada) - loony lyrics
- psychoqueen - nsitek lyrics
- thxbi - hi hater lyrics
- tammie brown - walking children in nature lyrics
- tori amos - god (the dharma kayã remix) lyrics
- nina hagen - where's the party lyrics
- sweetheart - there's no love at all lyrics