azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

diamond platnumz - chanda chema lyrics

Loading...

[intro]
platnumz
chanda chema huvishwa pete
basi pende nikupende, mi nikuvishe darling
hongera ya punda mateke
so nisije nikakupenda ukanitupa mbali

[chorus]
lalalalalala
ah! ooooh
lalalalalala
ah! ooooh
lalalalalala
ah! ooooh
lalalalalala
ah! ooooh

[verse 1: diamond platnumz]
chanda chema huvishwa pete
basi pende nikupende, mi nikuvishe darling
hongera ya punda mateke
so nisije nikakupenda ukanitupa mbali
ah sitosema hadharani
ila moyoni nitaumia
oh zile raha za chumbani
nikianza fikiria

[pre-chorus: diamond platnumz]
mmmh!
najua watasema mengi
tafadhali usikiize
si unajua hawapendi?
lengo lao wakuumize
najua watasema mengi
ila tafadhali achana nao
si unaju hawapendi?
lengo lao

[chorus]
lalalalalala
ah! ooooh
lalalalalala
ah! ooooh
lalalalalala
ah! ooooh
lalalalalala
ah! ooooh

[verse 2: diamond platnumz]
zidisha mahaba niteke
tena nipe vya akiba ulovitunza ndani
moyo upate maseke
nisahau hata shida zote za zamani
ah tena fanya hadharani
ili wazidi chukie
ah fanya hima natamani
muda wao umewadia

[pre-chorus: diamond platnumz]
mmmh!
najua watasema mengi
tafadhali usikiize
si unajua hawapendi?
lengo lao wakuumize
najua watasema mengi
ila tafadhali achana nao
si unaju hawapendi?
lengo lao

[chorus]
lalalalalala
ah! ooooh
lalalalalala
ah! ooooh (oooh)
lalalalalala
ah! ooooh
lalalalalala (lalala)
ah! ooooh

[bridge: diamond platnumz]
ayo
lemme dedicate this song
to all the pain in the ladies
out there
(lalalalalala, ah!)
it is what it is man
(ooooooh)
they call me president baby
(ooooooh)
wasafi

[chorus]
lalalalalala (eeeh)
ah! ooooh (ooh lalalalala)
lalalalalala (ii lalalala)
ah! ooooh (oooh)

[outro]
oooh lalalala
aaaah!
oooh lalalala
aaaah!
lalalala
ooooh!



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...