diamond platnumz - gongo la mboto lyrics
[chorus]
poleni wale usiku hatujalala
wale mabomu yamewapa madhara
yalosababisha maafa viro hasara
poleni sana ndugu zangu
mpaka sasa hawana pakulala
watoto bado njaa hawajala
tuzidishe uda na maombi nyingi sala
poleni sana ndugu zangu
poleni wale usiku hatujalala
wale mabomu yamewapa madhara
yalosababisha maafa viro hasara
poleni sana ndugu zangu
(gongo la mboto)
mpaka sasa hawana pakulala
watoto bado njaa hawajala
tuzidishe uda na maombi nyingi sala
poleni sana ndugu zangu
[verse 1: diamond platnumz]
eh! mola ona wanao tunakwenda
eh! tunakwenda tunakwenda
tunakwenda tunakwenda
kila siku matatizo abba tushike mikono
walosema idadi ya watu kadhaa
eti wengine maje raha
ona wegine wamejifungua
masikini moja bado
shida za maisha si usiku si mchana
na majanga yan-z-di twandama
huku majuk-mu yame
tanzania oh mama aaah!
kuhusu maidha si usinu si mchana
na majanga yanzidi twandama
huku majuk-mu yame
tanzania oh mama eyeee!
[chorus]
poleni wale usiku hatujalala
(hatujalala)
wale mabomu yamewapa madhara
(mmh madhara)
yalosababisha maafa viro hasara
poleni sana ndugu zangu
(eh! gongo la mboto)
mpaka sasa hawana pakulala
(oh pakulala)
watoto bado njaa hawajala
(hawajala)
tuzidishe uda na maombi nyingi sala
(nyingi sala)
poleni sana ndugu sana
[verse 2: mrisho mpoto]
enyi watanzania wazalendo wa nchii hii
akuambiaye usikombe mboga siku zote anataka ushibe
nani anasema usiku mmoja hauozeshi nyama
huyo tumegeukie na k-mtazame mara mbili maana ametudanganya
pole nchi yangu, pole tanzania, poleni sana gongo la mboto
ingekua hadithi ningesema ‘paukwa’, nikaanza kuwaongopea
ningekua mwana siasa ningesimama jukwaani nakuwaambia nichagueni mimi
lakini hizi ni roho za watu haya ni maisha
poleni sana gongo la mboto ndugu zangu watanzania
apasuaye nguo lazima awe fundi wa kushona
kilichotokea mbagala siku ile, watu walizani cinema kule mikoani
lakini kule gongo la mboto
hakuna aliyek-mbuka viatu wala k-mshika mwanae
hakuna aliyek-mbuka mume wala k-mbusu mkewe
najua tanzania tunavuma kwa ukarimu na upole j-pokua ni masikini
lakini uisikia ‘puumuuu’ ujue kimeshatokew gongo la mboto
tudhihirishe ukarimu wetu na kuitolea gongo la mboto
mungu ibariki tanzania, mungu ibariki gongo la mboto (ibariki)
[chorus]
eyeeee!
poleni wale usiku hatujalala
(hatujalala)
wale mabomu yamewapa madhara
(madhara)
yalosababisha maafa viro hasara
poleni sana ndugu zangu
(ndugu zangu)
mpaka sasa hawana pakulala
(pakulala)
watoto bado njaa hawajala
(oh hawajala)
tuzidishe uda na maombi nyingi sala
poleni sana ndugu zangu
Random Lyrics
- kidz bop kids - someone you loved lyrics
- kiki.d - don't bring john ( lyrics
- roundstreet - half a board lyrics
- jamul - all you have left is me lyrics
- rupert holmes - rifles and rum lyrics
- ant cats - bonzozep! lyrics
- nlsun - ok google 1 lyrics
- rockets - sampling machine (electric delight) lyrics
- jupanii - boabe si manele lyrics
- youngstin - over & over again lyrics