diamond platnumz - kizaizai (remix) lyrics
[chorus]
(kizaizai)
nyie mapenzi yanauma (kizaizai)
yanaumiza (kizaizai)
oh, kizunguzungu (kizaizai)
jama mapenzi mabaya (kizaizai)
weza gombana na ndugu (kizaizai)
rafiki akawa mubaya (kizaizai)
kazi ukaona chungu (kizaizai)
nyie mapenzi karaha (kizaizai)
oh, nyie mapenzi yanauma (kizaizai)
yanaumiza (kizaizai)
oh, kizunguzungu (kizaizai)
jama mapenzi mabaya (kizaizai)
weza gombana na ndugu (kizaizai)
rafiki akawa mubaya (kizaizai)
kazi ukaona chungu (kizaizai)
nyie mapenzi karaha
[verse 1]
mmmh
yanaanza kama safari
twende ukaone
k+mbe yana nguvu ni hatari
ukishanasa ndio uponie
yanaanza kama safari
twende ukaone
k+mbe yana nguvu ni hatari
ukishanasa ndio uponie
[pre+chorus]
mungu aliumba dunia na maajabu yake
ya mwenzako sikia omba yasikupate
eiih
mungu aliumba dunia na maajabu yake…
ya mwenzako sikia
ila yasikupate…
[chorus]
(kizaizai)
nyie mapenzi yanauma (eh eh)
(kizaizai)
yanaumiza (kizaizai)
oh, kizunguzungu (kizaizai)
jama mapenzi mabaya (kizaizai)
weza gombana na ndugu (kizaizai)
rafiki akawa mubaya (kizaizai)
kazi ukaona chungu (kizaizai)
nyie mapenzi karaha (kizaizai)
oh, nyie mapenzi yanauma (kizaizai)
yanaumiza (kizaizai)
oh, kizunguzungu (kizaizai)
jama mapenzi mabaya (kizaizai)
weza gombana na ndugu (kizaizai)
rafiki akawa mubaya (kizaizai)
kazi ukaona chungu (kizaizai)
nyie mapenzi karaha
[verse 2]
yanakosеsha raha
yanayima furaha
una yanakosesha raha
ndu mawazo
tena yanayima furaha
ila chazo
tena usiombе kupenda
uliempenda ajue
tena usiomba kupenda
uliempenda ajue
amani utakosha karaha jamani
dunia tena chungu kufa utatamani
[pre+chorus]
eiih
mungu aliumba dunia na maajabu yake
ya mwenzako sikia omba yasikupate
eiih
mungu aliumba dunia na maajabu yake…
ya mwenzako sikia
ila yasikupate…
[chorus]
(kizaizai)
nyie mapenzi yanauma (eh eh)
(kizaizai)
yanaumiza (kizaizai)
oh, kizunguzungu (kizaizai)
jama mapenzi mabaya (kizaizai)
weza gombana na ndugu (kizaizai)
rafiki akawa mubaya (kizaizai)
kazi ukaona chungu (kizaizai)
nyie mapenzi karaha (kizaizai)
[bridge]
baba na mama watake (kizaizai)
chakula tamu ni sumu (kizaizai)
mashoga sasa wanafiki (kizaizai)
kulala nanyi ni ngumu (kizaizai)
eiih, yanauma (kizaizai)
tena yanauma sana (kizaizai)
oh, na yanauma (kizaizai)
oh, yanauma sana (kizaizai)
[outro]
so mk+mbatie
akicheza ucheza nae
akiringa aeende
mk+mbatie
akicheza ucheza nae
akiringa aeende
mk+mbatie
akikata ukate nae
akiringa aeende
mk+mbatie
akikata ukate nae
akiringa aeende
so mk+mbatie
akicheza ucheza nae
akiringa aeende
mk+mbatie
akicheza ucheza nae
akiringa aeende
so mk+mbatie
akikata ukate nae
akiringa aeende
mk+mbatie
akikata ukate nae
akiringa aeende (hii…)
Random Lyrics
- wanima - rainbow lyrics
- warhaus - open window lyrics
- 鈴木瑛美子 (emiko suzuki) - a new story lyrics
- general woo - još uvijek lyrics
- alec shaw - spinning (live) lyrics
- faberge - gde si sad lyrics
- teleframe - check.it.out lyrics
- chief state - 22 reasons lyrics
- grillijono k.o. - ei oo sun oma vika että oot niin vitun tyhmä lyrics
- sedjuk project - love is a mystery lyrics