diamond platnumz - mbagala lyrics
mm+mm, mm
busara na upole, na hekima nilorithi kutoka kwa mama yangu, mama
vyote haukuvijali, ukaona silingani kabisa kuwa na wewe
akuti na mkole, ukakata kabisa na shina la penzi langu, nana
eti kisa mali, ukaona bora uniache mimi na uolewe
ile siku shekhe namuona anachoma ubani
unavishwa pete unakuwa mke wa fulani
n’liumia sana, sana, ah
ile siku shekhe namuona anachoma ubani (ah+ha)
unavishwa pete unakua mke wa fulani (ah+ha)
niliumia sana, mi niliumia sana, sana
tatizo kwetu mbagala, hapa nyumba mbele jalala
tatizo kwetu mbagala, ukaona mapenzi siwezi
tatizo kwetu mbagala, hapa nyumba mbele jalala
tatizo kwetu mbagala, ukaona mapenzi siwezi
ah+ah, ungejua jinsi gani
machozi n’lolia kwa uchungu wa penzi langu, na
mwenzio jinsi gani, vile nimeumia moyoni
hata kupendwa sitamani
utamu wa mapenzi mwenzako umеkula kw+ngu, ma’
mwenzio sitamaani, hata raha tena mi sioni
ah, naskia hivi sasa una mtoto anaitwa mamu
vile akinuna mpaka atabasamu
mmеfanana sana, sana
mi’ mwenzako tena mapenzi mi’ sina hamu (ah)
tena na mpango wa kuhama dar es salaam (ah)
nataka niende mbali, niepuke visa na walimwengu
mi’ mwenzenu siwezi
tatizo kwetu mbagala, hapa nyumba mbele jalala
tatizo kwetu mbagala, ukaona mapenzi siwezi
tatizo kwetu mbagala, hapa nyumba mbele jalala
tatizo kwetu mbagala, ukaona mapenzi siwezi
nasema mbagala, mbagala, mbagala, a+ah
mbagala, ukaona mapenzi siwezi
nasema mbagala (mbagala), mbagala (mbagala), mbagala (mbagala), eeh
mbagala, ukaona mapenzi siwezi
tatizo kwetu mbagala (mm, mbagala), hapa nyumba mbele jalala (mm, mbele jalala)
tatizo kwetu mbagala, ukaona mapenzi siwezi
tatizo kwetu mbagala, hapa nyumba mbele jalala
tatizo kwetu mbagala, ukaona mapenzi siwezi (mama, ma’, ah)
mbele jalala (jalala), kwetu mbagala (mbagala)
mm, mape+
eh+eh, hi+hi, na, na, na, na, na, na, eh
ayo (ayo), yo i’m platnumz ladies, i’m back (i’m back)
the sharobaro president, bob junior
mr. chocolate flava
yo, i’m back, diamond i’m back ha+ha
nimemaliza
Random Lyrics
- soak - pretzel lyrics
- wicky - stjerne (interlude) lyrics
- party in backyard - disney channel flow (diss track to jake paul) [remix] lyrics
- rob benedict - fare thee well (live) lyrics
- r1cky - prime lyrics
- the waterboys - once were brothers lyrics
- trophy hunt - nekyia lyrics
- florence + the machine - you've got the love (mark knight remix) lyrics
- death's head - lobotomize me lyrics
- madam adam - the information lyrics