diamond platnumz - moyo wangu lyrics
[intro]
le ngree ma
took over town
lamar
it’s a fishcrub presentation
diamond
it’s the fishcrub
ladies and gentlemen
wasafi
[chorus]
moyo w-ngu
moyo w-ngu mama eeh
moyo w-ngu mi mi
umeniponza mama
moyo w-ngu
moyo w-ngu mama eeh
moyo w-ngu mi mi
umeniponza mama
[verse 1: diamond platnumz]
ah ah ah!
upole w-ngu simanzi eh
kw-ngu kupenda maradhi ii
lakini kupendwaga mi naye
bahati nuaga sina
jichoni kw-ngu kibanzi eh
tena napenda kamanzi ii
licha ya k-mthamini kama shillungi
tatizo hata raha sina
ufinyu wa mboni zangu (ni zangu)
unatazama mengi yanayonipa mateso
tena hata kupenda sina raha
na nakonda kwa mawazo
masikini penzi langu gina
nilishakata na kaulia roho inatoka kesho
kutwa nzima mara eh
mara ii hata najuta kupenda aah
[chorus]
moyo w-ngu
moyo w-ngu mama eeh
moyo w-ngu mi mi
umeniponza mama
moyo w-ngu
moyo w-ngu mama eeh
moyo w-ngu mi mi
umeniponza mama
[verse 2: diamond platnumz]
mmmh tena!
mmmh kutwa kucha mara oh
huwezi kosa maneno oh
ili mradi tu ‘tara tantalila’
mmmh sina raha
wala sina tena mi pango
kutwa nzima na mawazo gina
mmmh aaah!
sina raha oh mama
tamu ya wali ni n-z- eh
raha ya supu ma ndanzi ii
raha yangu ni kupendwa tu naye
lakini nyota sina
na napata na radhi eh
nawa kufuru wazazi ii
kwa kung’ang’ana mi kutata kuwa naye
lakini bahati sina
masikini roho yangu (roho yangu)
ingalikuwa ni ngu ningempa ava eh
j-po akipita wamsifie
ila lakini ni kikwazo
masikini penzi langu gina
nilishakata na kauli roho inatoka kesho
kutwa nzima mara eh
mara ii hata najuta kupenda aah
[chorus]
moyo w-ngu
moyo w-ngu mama eeh
moyo w-ngu mi mi
umeniponza mama
moyo w-ngu
moyo w-ngu mama eeh
moyo w-ngu mi mi
umeniponza mama
moyo w-ngu
moyo w-ngu mama eeh
moyo w-ngu mi mi
umeniponza mama
moyo w-ngu
moyo w-ngu mama eeh
moyo w-ngu mi mi
umeniponza mama
Random Lyrics
- grave miasma - kussa'u tibtihu lyrics
- grivina - звездопад (starfall) lyrics
- z-trip - shock and awe lyrics
- bossy love - the e lyrics
- sukkerchok - jeg ved hvad du vil sige lyrics
- carakukly - כרקוקלי - halachti lishtot - הלכתי לשתות lyrics
- casper & the cookies - take it away, kathy lyrics
- john entwistle - all dressed up (demo) lyrics
- illegal 2001 - metzgerin lyrics
- kelly willis - my heart's in trouble tonight lyrics