diamond platnumz - ntaanzaje lyrics
(ayolizer)
aliumba ardhi akaumba mbingu
akaumba mbaramwezi
kaumba nafsi, kaumba wivu
akayaumba na mapenzi
na kukuacha sidhani, siwezi jaribu
maana penzi kwa mzani, umenizidi mahabibu
shika vyema usukani, twende taratibu
baada ya tuta baby koleza gear
yaani tam tam kama pipi
nakuita sweet, ah lote lote
fundi kwenye kwichikwichi
shape vipi? kama lote
vicheche nisha delete
sitaki cheat, wa toke toke
kwenye moyo nimekupa seat
we ndo dereva, so kukuacha oh
naanzaje? (ooh mimi)
naanzaje? (aah mimi hapa)
naanzaje? mwenzako kukuacha siwezi
naanzaje? (ooh mimi)
naanzaje? (aah mi jamani)
kukuacha oh, kabisa siwezi
hadithi kuja hadithi njoo, utamu kolea
mwezenu huba liko kwa roho, limeninogea
vishenshuda poleni woo, mnalo wambeya
mtaja kuumwa makwashakoo, kwa kutuongelea
tena me kwake ndo daktari, nampa tiba halali
wanaitaga sukari, alamba haa!
na jana nilifunga nikasali, nikamuomba jalali
tuepushe madhohari, ya wanadamu
ah ah, we mtam tam kama pipi
nakuita sweet, ah lote lote
fundi kwenye kwichikwichi
shape vipi? kama lote
vicheche nisha delete
sitaki cheat, wa toke toke
kwenye moyo nimekupa seat
we ndo dereva, so kukuacha woo woo
naanzaje? (ooh mimi)
naanzaje? (aah mimi hapa)
naanzaje? mwenzako kukuacha siwezi
naanzaje? (ooh mimi)
naanzaje? (aah mi jamani)
kukuacha oh, kabisa siwezi
na kukuacha sidhani
siwezi jaribu
maana penzi kwa mzani
umenizidi mahabibu
(wasafi)
Random Lyrics
- leikko - look my way lyrics
- lune - ohne dich lyrics
- 德永英明 (hideaki tokunaga) - 愛のひと (aino hito) lyrics
- holy modee - überleben lyrics
- guardin - the drifter lyrics
- midnight nightmare - everything bleeds lyrics
- 31 minutos - mundo interior lyrics
- bobby shmurda - how can i lose lyrics
- arnav singh - wasabi feverr lyrics
- $orr¥ - beliiieve lyrics