diamond platnumz - ukimuona lyrics
[intro]
mmmh
[verse 1]
mungu aliumba dunia, mapenzi tangu na tangu
yashanipiga sasa, ‘sina budi nielewe
siwezi kung’ang’ania, ‘huenda sio fungu langu
j+po ni shida ‘ila, nitabaki mwenyewe
oh, ila’, mpe shukrani
kwa kuniumiza, [suraya]
mwambie mi bado mahututi, nauguza kidonda changu
na asisikie asilani, ‘muambie mapenzi mabaya
[?] kairuki singe tibu donda langu
[pre+chorus]
kutwa nzima, moyo unanidunda, dunda, ‘dunda
[?] nina saga rumba, ‘rumba
ah, unanidunda, dunda
sema [?] we ‘moyo
unanidunda, dunda (mami, moyo)
[?] nina saga rumba, ‘rumba (oh, mimi)
na unanidunda, dunda
eh…
ukimuona
[chorus]
ukimuona
ukimuona
ukimuona
ukimuona
ukimuona
[verse 2]
we nenda muambie marafiki, ‘marafiki wabaya
tena wengi waongo, ‘wala wasimdanganye
oh, yaani mashoga, rafiki
oh, marafiki wabaya
oh, mmmh
[verse 3]
tatizo mi bado
nilipo teleza, nikakosa ‘sipajui
mpaka akafunga virago
na akaamua kuondoka ‘sitambui
mbaya kinachoniumiza ‘maneno, neno, maneno
mara kwa ndugu, rafiki
wa nini?
yanawapa misemo
najaribu papasa, ‘huenda kwa macho ataona chochote
ila ndio kutwa, ‘mikasa
na nn+z+di kuanguka, niokote
[pre+chorus]
kutwa nzima, moyo unanidunda, dunda, ‘dunda
[?] nina saga rumba, ‘rumba
ah, unanidunda, dunda
sema [?] we ‘moyo
unanidunda, dunda (mami, moyo)
[?] nina saga rumba, ‘rumba (oh, mimi)
na unanidunda, dunda
eh…
ukimuona
[chorus]
ukimuona
ukimuona
ukimuona
ukimuona
ukimuona
Random Lyrics
- mala agatha - tak ikhlasno lyrics
- achampnator - game over (english version) lyrics
- psycho rhyme - co je beef? lyrics
- lakami - real boy lyrics
- finaçon - dexam canta cabo verdi lyrics
- ay3demi - head rush lyrics
- zikodelik - real lyrics
- password - god's country lyrics
- blandee - dark románce lyrics
- jean sibelius - en etsi valtaa, loistoa lyrics