diamond platnumz - unachezaje lyrics
[intro]
ladies and gentleman
now the moment you’ve all been waiting for
the world famous…
eh eh
zombe, oh
s2kizzy, baby
[verse 1]
aga
mf+koni nina kiti (mati)
mkononi kai (mati)
nasikia kuna kiki (wapi?)
nije kujimwaga (kati)
oh, haitoshi
kalitaka simba la baba kaletewa
oh my gosh
sasa kazima anataka kubebewa
oh, haitoshi
kalitaka simba la baba kaletewa
oh my gosh
sasa kazima anataka kubebewa
[chorus]
nionyeshe unachezaje (unachezaje)
unachezaje (unachezaje)
kwani unachezaje (unachezaje)
unachezaje
asa nionyeshe unachezaje (unachezaje)
unachezaje (unachеzaje)
kwani unachezaje (unachеzaje)
unachezaje (unachezaje)
[verse 2]
ilikwa mbili 4, 4
pale pale (pale pale)
dawa ya show, show, show
nahisi ndale (nahisi ndale)
peleka
vuta
taratibu songa pupa
dereva
shusha
hapo mbele kwenye kuta
eh…huu ni mti gani (wa mchongaoma)
ukiukata (haukatiki)
sisi ni mti gani (wa mchongaoma)
wakitukata (hatukatiki)
[chorus]
nionyeshe unachezaje (unachezaje)
unachezaje (unachezaje)
kwani unachezaje (unachezaje)
unachezaje
asa nionyeshe unachezaje (unachezaje)
unachezaje (unachezaje)
kwani unachezaje (unachezaje)
unachezaje (unachezaje)
[verse 3]
asa po po li po li po po po po po li po li po la
(po po li po li po po po po po li po li po la)
po po li po li po po po po po li po li po la
(po po li po li po po po po po li po li po la)
waambie chombo (kinapepea)
eh, chombo (kinapepea)
huwaga chombo (kinapepea)
kile chombo (kinapepea)
[break]
aweh…
acha
aweh…
ah…
[outro]
huo mn+z+ (unakatika)
mn+z+ (unakatika)
mama mn+z+ (unakatika)
ona mn+z+ (unakatika)
ukitaka kukatika hukatika kati kati katika…
huo mjumba (unabomoka)
mjumba (unabomoka)
mama mjumba (unabomoka)
ona mjumba (unabomoka)
ukitaka kubomoka hubomoka bo bo bo bo bo bo bo…
(mix lizer)
Random Lyrics
- 6synic - endless devotion lyrics
- stella saph - gossip girl lyrics
- 三上枝織 (shiori mikami) - oath lyrics
- man on the internet - baladium's drive lyrics
- bay swag - my story lyrics
- santino tomasetti - scream (as loud as you can) lyrics
- mariax - weekdays lyrics
- voonex york - shatter:sh(shatter) lyrics
- anberlin - asking lyrics
- trippo b - whyne up lyrics