azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dirty boyz gang - chapa kumedi lyrics

Loading...

yeaaah! dirty boyz yeah uh
(mbogi nyege!) ndo hao
mbogi chafu ouuuh! (vinks on the beat)

zimeshika nina chapa ni (chapa ni medi)
nina chapa ni (chapa ni medi)
mzigo mzitu round nina chapa ni
(chapa ni medi)
nina chapa ni (chapa ni medi)
chapa nna chapa nimedi (medi)
chapa nna chapa k+medi (medi)
chapa nna chapa nimedi (medi
chapa nna chapa k+medi (medi)

mbogi nyege tume come through na njeve
seti kanunu fyeka fyeka na jembe
spigi shots sita leo niko na tembe
aty uta geuzwa kichungi na unatembea na wembe

nime pull up na genge ya ma odi
nme zama shimo zotе na sijai piga odi
k+manga dada zao kiandan huniita godi
nna lala keja zao na sijai lipa kodi

zimeshika nina chapa ni (chapa ni medi)
nina chapa ni (chapa ni mеdi)
mzigo mzitu round nina chapa ni
(chapa ni medi)
nina chapa ni (chapa ni medi)
chapa nna chapa nimedi (medi)
chapa nna chapa k+medi (medi)
chapa nna chapa nimedi (medi
chapa nna chapa k+medi (medi)
chapa ku nimedi ndo form c huseti
nikteka hao mangeus sanasana makeki
tingisha tingisha dhudha abdalla abaki amesimama
mangeus wakijipa tunachapa ilale

gongesha chapisha ibaki joh ni lawa
kwa giza shikisha lipuka ukime
shakila madhudha tingisha ah!
madiva wajipa ah!ah!
ma gbag ivisha kwa machoche zituvibe…

zimeshika nina chapa ni (chapa ni medi)
nina chapa ni (chapa ni medi)
mzigo mzitu round nina chapa ni
(chapa ni medi)
nina chapa ni (chapa ni medi)
chapa nna chapa nimedi (medi)
chapa nna chapa k+medi (medi)
chapa nna chapa nimedi (medi
chapa nna chapa k+medi (medi)

unanichafua kwa luku ila mistari nakuosha
nipate tu naduster nikichafua bas+m+nt area yako
napita tu na esther wambo pia sasha
napenda pedi w+ngu ye huni balance tu maroster
mashada namacookie zote zote pia mboga
my brother wacha chuki boy boy ntakugonga
lawama haiwezi weza so tembeza utabuya
umama useti kando juu nimekuja nakirifle

na venye nimesteady utadhani mi ni idol
na manzi yako keki nitamkula kama apple
navenye we ni mshenzi mi nachapa nimedi
kwa bedi joh miniratchet mdeadly

zimeshika nina chapa ni (chapa ni medi)
nina chapa ni (chapa ni medi)
mzigo mzitu round nina chapa ni
(chapa ni medi)
nina chapa ni (chapa ni medi)
chapa nna chapa nimedi (medi)
chapa nna chapa k+medi (medi)
chapa nna chapa nimedi (medi
chapa nna chapa k+medi (medi)

the end



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...