dizasta vina - nobody is safe 5 lyrics
so hii kalamu ikisimama na kuanza kutupa wino
watoto utasikia “mom look superhero”
sivunji bars na+storm out, like i’m the one
who let the dogs out, scofield navuka wigo
alafu na+fly far (shuu)
aftermath natoa salamu kwa survivors
ukoo wa mbuzi unawapa high five, niko busy na mkwanja
na ndio maana sionekani viwanja ka’ vile sikai dar
game kazi siku hizi mama anafahamu
ala tamu inaongea alama, binadamu
niko salama natoa salamu bila damu
kwa kipaza nasambaza karama ya hii kalamu
sikutaka kutoka niliingia chaka
nikatulia nikaisoma dunia utafikiria nasa
nikawa fear factor, nikashika njia
wabia wakanihofia kama wanavyoihofia cancer
hii ni beyond your high definition
naona mbali utadhania tai, hii vision
ni ya kutafuta material sikai ili nilishwe
moves kama spy kwenye mission ni++er
badili spana hii ni volvo
walifunga mageti kwa maana ligi ndogo
leta paper kubwa mchizi nachana si kitoto
mi ni nyoko waulize wagaga+gigi+koko
waliokuwa hawakomi wanakoma
walikuwa vipofu hawakuona navyochoma
homa, nikitua kwenye mwili huwa ni joto
vyuoni ka’ dodoma na sua wananisoma
na huu ni wimbo kwa ma+hustler
walio+focus kwa maana flow ni za kimasta
na+flip topic utadhani flip mode busta
rhymes utahisi bro langa
eyo eyo kwa insha na methali
nawazika ka ujamaa ulivyozikwa na ubepari
nishachoka na uongo so nafoka mpaka mtondogoo
kwa world class protocal, internationally
sina big team, nina big pen brother
niki+grip unaweza sema slim shady kaja
achana na kids hawa sixth grade rappers
kisha pick me dizasta mi’ ni 50 shades darker
hizi tenzi ni pure, niko real toka enzi nakua
nili+rap kabla mapenzi sijajua
kwenye game wanavyoenzi majuha
wana track mbovu na wanafanya media tours
now i’m mad (really mad), sitaki hoji what next
ni+focus kwenye page za kishost na kuvex? nah
sipigi mbonji niko resi kama race car si+dodge dodge
wala siweki emoji kwenye text
jina vina na kazi ni mistari
maisha yangu hadithi jamaa hii ndo’ dibaji
nawakilisha machizi ambao vichwa ni madini
sifanyi masaji nafanya mauaji ya kimbali
ona nawazidi nguvu wanahisi labda juju
k+mbe ni sk!lls fulani new new
iwe kung fu ama wushu j+po sio new school
bado logo ni classic kama fubu
panorama kitambo bado sugu
ndugu watachanga michango ukijitusu
nitakushangaa ukija bila plan kwenye battle
maana unahitaji kiw+ngo na mipango kunimudu
nimeshiba contents cheki youtube
nina material priceless kwenye fuvu
j+po wan+z+ba ili nisi+trend kama dudu
sizifuati trend, trend na+create kama mungu
niko shega bro
g+nius ni understatement half man half god paradox
niite vina just for lack of the better words
literally, yet metaphorically undebatable
huwezi ‘amini mambo ambayo ubongo una+solve
i;ve been tested couple of times madokta wanahofu
linapotajwa jina langu marapa wanatokwa na povu
mi ni ndovu walisha+approve ngosha na prof
natia chata kwenye list ya ma+veteran
tunaopamba beat kama binti mwenye pete yaani
chagua jumba la sanaa uchukue kiti uketi ndani
au uendelee ku+search role model wako anam+date nani
top tiers wako hawafai kwenye hii selection
kutafsiri inahitaji classes na deep sessions
dunia ilianzaje? ukifa unaenda wapi?
sijui yai sijui kuku you know, that kind of big questions
i’m a street legend haisumbui sana
kutambua maana sideki ka’ simjui mama
kamuulizeni mr. kuvichaka atawaambia
nishakula vichaka utadhania mbuzi kaja
najua nitakuwa star that’s not my major dream
stardom is for little kids legacy’s the better thing
nataka kuwa rapman next to ringle beatz spiderman
and panorama is the avenger team
wasakatonge tuko fiti hatulei mboga
na size ya bendi ni big everyday ngoma
bado mistari ni mingi haienei folder
dizasta vina si michael b ni michael a jordan
kipindi sina deal street nishatukanwa nika+chill
nikawa focus inaitwa stamala
mbishi nang’ang’ana siishi kwa mama
popote yalipo mamkwanja ya k+mwaga naishi mkabara
nachekecha mamkwanja baada ya kutw+nga na
kupepeta hasira ka’ ndo’ naanza k+mbe star
nimefika kwa movie hii…
nina fan base bila mchomvu na b tw+ngala
kuna wana walijaribu kuwa mimi yoo
yaani kuwa off the stream and yet clinical
walicopy flows instruments na video
walinikuta wakaja wakaondoka ka’ menstrual period
mi’ sio budha budah
i look friendly ndio maana marapa wanakujakuja
wananizoea kiboya naishia kuwafunza lugha
ningewafundisha kuongea na wake zao ila nachunga muda
label zinawapiga mitungo hatuongei
verse lundo mf+ko bei
niliwaheshimu sana wadau, mkaja mkasema hailipi
mkaendekeza kiki alafu mkaja mkampa tuzo ney
mashabiki nao wanadisi kwanini sionekani
wakati kila zinapotajwa list huwa sikosekani
labda kwakuwa sisifii s+x na pombe kali
wengine wanasema i’m the missing piece ya kikosi kazi
adimu kama mythical creature
lyrical teacher naacha kesi ya criminal kisha
napotea kwenye surface siachi physical feature
naacha history na elimu kwa every critical thinker
Random Lyrics
- harmony.wav - internet loser! / control / childhearted lyrics
- do1r - стесняться (to be shy) lyrics
- shay - 1000 à l'heure lyrics
- fluff.fluff - поехали на такси (let's take a taxi) lyrics
- ll junior - cigány-ügy lyrics
- aayannn - jesus piece lyrics
- belinda - ángel (once in your lifetime) [acustica] lyrics
- we are domi - i'm not alright lyrics
- infernalfr4n - sрutиуk lyrics
- андрей жабин - солнечный ветер lyrics