dj karashville - vitu staki lyrics
[intro]
(lay all your love on me)
karash
ville
[verse 1]
am bad at vitu sitaki
thats why i f+ck n pass it
f+ck n+gga manna gallis
kupenda kanlainisha aki
kujipendaa kanlainisha aki
ku juggle awa ma manzi
ka pull up kama gw+ngi
na kuwahi dem m+nandi
ako na thing na ma lightskin
akaniwahi some good loving
kidogo anshikie gari
buh idhaa iliwa ni ya ma bandi
baringo wa far east
bro open aliwahi pasi
bro nko open lete pasi
na usiwe na wasi wasi
[chorus]
am bad at vitu sitaki
bruhman checkout my antics
cut them like am rashy
sjabonga she be blushin
am bad at vitu sitaki
am bad at vitu sitaki
am bad at vitu sitaki
am bad at vitu sitaki
[verse 2]
she bad at vitu hataki
thats why she light it pass it
kwa sky while you lurking
thats why she a baddie
f+ck around and get bl++dy
to be fair she be lovely
type a girl i be wanting
f+ck nmeishiwa na ma rhyimng
shida ya kuwa mhanyaji
ata akuwe malkia aji
kulipa utalipa kisasi
kupigwa utapigwa radi
kukula utakula risasi
unafaa ukuwe ready my g
juu hapa ukilalisha kiasi
utaachwa kaa uko hanging
[chorus]
am bad at vitu sitaki
bruhman checkout my antics
cut them like am rashy
sjabonga she be blushin
am bad at vitu sitaki
am bad at vitu sitaki
am bad at vitu sitaki
am bad at vitu sitaki
[verse 3]
we bad at vitu tutaki
thats why i never trust these
f+cktards all around me
mnaficha na ni wazi
trust skuizi ni ka gambling
place bet ukiwa down g
utajipata place hudai
claim ta lipwa na your hunny
everyone about their money
msikiti ama kanisani
utapokea backsatbbing
so ukae rada nanii
nkaa nmeishiwa mstari
na beat bado ndo hii
haidai kusiha ai
stop recording aki ya nani
[chorus]
am bad at vitu sitaki
bruhman checkout my antics
cut them like am rashy
sjabonga she be blushin
am bad at vitu sitaki
am bad at vitu sitaki
am bad at vitu sitaki
am bad at vitu sitaki
Random Lyrics
- alan aztec - fly to altai lyrics
- down the river - idle lyrics
- danyannisa - aku dan kisahmu lyrics
- laïoung - 2016 lyrics
- дельфин (dolphin) - я буду жить (live) (i will live) lyrics
- dollbreaker - are you on drugs lyrics
- 09pea$ - beaucoup,dna,secrets lyrics
- saku [pl] - od kilku miesięcy lyrics
- banditdamack - devious lyrics
- babydrill - scared of the p*ssy lyrics