dj mushizo - wivu remix lyrics
[intro: ibraah, baddest 47 & jay combat]
oya!
(mh, weed)
weeh (weeh)
(au?)
weeh
kama nimetoka milembe
oya wanangu wa gang, gang
oya konde gang, gang, gang
oya tupo gang, gang
oya wanangu wa gang, gang
kafa paka kazikwa nyau
weeh mushizo
utawaua…
oya, oya, ’oya weh
[verse 1: ibraah]
nitakuhonga figo, nikupe na moyo
baby, mi na wivu, we jifunze uchoyo
chuma, nilipotoka nilikuwa loyal
yaliyo nikuta mengi, nimekoma
oya noma
mapenzi noma (noma)
oya noma
yalinipa ka homa (noma)
[verse 2: ibraah]
ni muda wa ku+enjoy sasa
huko nyuma yalininyanyasa
tumefungua mpya kurasa
tuzae na watoto, we sio tasa
oya!
(?) jambo lisilo na (?)
ndio unafanya moyo unauma
hasa ukute yaliyomo yakiwemo
ndio yanafanya moyo unauma (eh)
[chorus: jay combat & ibraah]
wivu
wivu, mama
wivu
wivu
wivu, dada
wivu (mmm, na wivu)
jay!
[hook 1]
sicheki na wowote
naulinda w+ngu moyo
nyie wengine viroboti
hawawezi kuni+follow
mi siruki na wowote
nauchunga w+ngu moyo
nyie wengine viroboti
hawawezi kuni+follow
[chorus]
wivu
wivu, mama
wivu
wivu
wivu, dada
wivu
jay!
[hook 2]
nakupa mapenzi
nakupa vichenji, kipi haupati?
[?]
nakuhonga tambo, juu ya tango
bado hutoi [?], (mh, weed)
nakupa mapenzi
nakupa vichenji, kipi haupati?,(mh, champion boy)
nakuhonga tambo, juu ya tango
bado hutoi [?]
(yeah, wote, wote)
[verse 2: baddest 47]
yeah
nakupa vichenji
nakupa utamu (tamu)
nakupa ka cv
unakuwa madam (?)
yeah, nakupa u come
nakupa na marejesho, kausha damu
(wivu)
un+z+di takata (takata)
un+z+disha mpaka napata+
(wivu)
au ni kalimbwata? (mbwata)
kana kwamba, umenikamata
uh, uh
yesu nitembelee (yeah)
na huyu wasimpige ndele (yeah)
(wivu)
ukichuma tembele
mi nachuma pesa, nikujengelee, mh
[hook 3]
sicheki na wowote (wote)
naulinda w+ngu moyo (okay)
nyie wengine viroboti (yeah)
hawawezi kuni+follow
mi siruki na wowote (wote)
nauchunga w+ngu moyo
nyie wengine viroboti
hawawezi kuni+follow
[post+chorus]
dance
dance, (tuone)
dance
dance, (wote)
dance
dance, [?]
combat jay na mushizo
[interlude]
na hili goma nikiwa na dj mushizo, utawaua
kafa paka kazikwa nyau
ah, pilika, pilika za mtu mweusi
[?] hapa naongea
afro mapishi classic
tutumavi, chafu choo
ah, nakubali sana mr. g+nius
ile ile [?]
nakubali sana issa dancer
ah, nakubali sana wanangu wa mbambadu, we
wa k+manda
[instrumental outro]
(sms music)
lopazi jini
(ah, ah)
Random Lyrics
- lovtra1n - statly angels lyrics
- los gemelos de sinaloa - pase de pescado lyrics
- fb23 - сказал-сделал lyrics
- night shadow - проснулся в клубе (i woke up in the club) lyrics
- sun (germany) - different those days lyrics
- yoshinxri - bbv* lyrics
- the field mice - i thought wrong lyrics
- razeki - c.j lyrics
- keyonna jones - all summer long lyrics
- godfada g - for you lyrics