azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

d`nonie - kaa nami (nilinde) lyrics

Loading...

msaada wako (abide with me)

[verse 1]
daddy si shida ukinishikaga mkono
ukanishushia maono nikalala usingizi mnono
si ulinipa pumzi na ukaweaka mdomo
ili nikusalie na maombi yangu yasiwe na kikomo
iko wazi shetani huletaga mgomo
akinisearch day n night kwa list yake name niwemo
ukasema nisichoke kusoma na k-mkemea kwa neno
juu angels ulituma na hunicare ile vimore
baba ni thank you we hunipa more
ni usiku, nihold ama unishike mkono
nitafollow, heaven record, kitabu cha uzima niwemo
sitachoka kupiga magoti, sala zangu si demo
sauti yako hunifuata ikisema “ mwanangu nakupenda”
mi huisikia nikipaza sauti za kulia, mbali sitoenda
upendo wako ni wa ajabu hata kama nimekosa we hunijibu “ mwanangu nakupenda”
lord me huk-mbuka we ni wokovu
still watu wako tukifanya maovu
kwani hatuogopi? anyway we husamehe waovu
abide with me, msaada wako hauna kikomo, mbali sitoenda

[verse 2]
angalia huyu kijana si kwamba ameshindwa kulala this night
ye hudai daily life si fair na maisha imemuendea tight
lakini bado ye husahau you are the almighty
njia yake si nzuri tena usiku kwake si night
but lord we hujua, why? amekua akiprost-tuty
kwa bed nikilala hawa madedbug hunik-mbusha
out kuko na watu hawana pakulala lakini love hushare
kaa mkate we hutupa na si jiwe basi jina lako lisifiwe
mungu na sisi, emammanuel ni wewe
safari yangu si karibu, mlinzi w-ngu ni wewe
me huogopa macho yangu yakiarise giza
mikononi mwako ni safe, jesus na hawa si ni we huwatunza
kando ya kivuli cha haki we huwatuliza
wengine juu ya majani mabichi huwalaza
abide with me, msaada wako hauna kikomo, mbali sitoenda



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...