
dogo janja - ukivaaje unapendeza lyrics
Loading...
manzese music baby beee
oyaaaaaa
oyaaaaaa
oyaaaaaa
oyaaaaaa
ukivaaje unapenda we.
nikipiga zile full track. utawaka sana eeeh
ama penci suruali beili black. baby utatoka kinyama… ukivaaje wee.
ivi ndivyo nilivyo me, ninavyo ninavyo vaaah.
kwa machafu likizo me; sinaga ustar.
nipo simple simple sana me; eebwana raha.
napenda kuliko wote apa dar.
nina sifa za dully sykse; jinsi za kubana eeh
simboni ama machoni glass; sio kama jana eeh.
nilivaa suruali, suti ya spesho, navaaa pamba kali,
sirudii kesho,
we unavaaje utokelezee, ukikosea kodi utatoka kama mzee.
ukivaaje unapendeza
ukivaaje unapendeza
ukivaaje unapendeza
ukivaaje unapenseza we.
Random Lyrics
- ronaldo fontinele - para a vida inteira lyrics
- the.trvth - fly away lyrics
- will hearn - wild brother lyrics
- lil bonda - everest lyrics
- kuselofte - vi tar det igjen neste år lyrics
- veason - w jej oczach widzę ból lyrics
- déia e tiba - caixa de giz lyrics
- fantasy - was hast du denn gedacht lyrics
- relon - in your arms lyrics
- kenny golder jr. - made 4 this lyrics