azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

don santo - kichaa wa yesu lyrics

Loading...

intro

stanza one
katika safari ya wokovu
umekuwa nami rafiki
ingawa nimekuwa muovu
haujasita kunistiri

katika safari ya wokovu
umekuwa nami rafiki
ingawa nimekuwa muovu
haujasita kunistiri, bwana!

pre+chorus
aram tapa tapa za maisha hazinistedi
hata mikora ya kidini wapo we know already
mungu ndiye jaji
rabana ndiye pedi
hallelujah!

chorus
kichaa wa yesu!
kichaa wa yesu!
kichaa wa yesu!
bwana ni rafiki
tena egemeo
stanza two
na mbona santo nisishukuru kwa ulonipa
familia umenipa, laisha na dahlia
oooh bwana
mbona nisichizi kwa bahati zote

katika safari ya wokovu
umekuwa nami rafiki
ingawa nimekuwa muovu
haujasita kunistiri, bwana!

pre+chorus
aram tapa tapa za maisha hazinistedi
hata mikora ya kidini wapo we know already
mungu ndiye jaji
rabana ndiye pedi
hallelujah!

chorus
kichaa wa yesu!
kichaa wa yesu!
kichaa wa yesu!
bwana ni rafiki
tena egemeo



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...