don santo - naogopa x talk about love lyrics
verse 1
||: mapenzi chenga
yakikupiga unasurrender
na wengi wakipendwa
wanasahau kuna kutendwa:||
wapi mkandarasi wa moyo
wa ukuta wa mapenzi unadondoka
kinacho ponza wengi ni moyo
wakikalia kuti kavu wanadondoka
unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki
umemteka kwa mali na cheki
k+mbe vyombo anakula muuza magazeti
unajisifu umempata, k+mbe alomuacha anamfuata
anachotaka anakipata, wanasema wala ana talaka
chorus
||: naogopa [naogopa] x2 naogopa
kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee
naogopa [naogopa] x2 naogopa
tena tochi ya mapenzi isinimulike :||
verse 2
verse 2
beautiful darling, baby love…
i like it what you’ve done to me, now i know…
||: talk about love, talk about us;
the joy + and the lord is my defense;
[gadol elohai yeah x2] :||
chorus
||: naogopa [naogopa] x2 naogopa
kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee
naogopa [naogopa] x2 naogopa
tena tochi ya mapenzi isinimulike :||
beautiful darling, baby love…
i like it what you’ve done to me, now i know…
[outro]
Random Lyrics
- lesee - como me duele lyrics
- luckhaos - infelizmente o sam não é mais brabo lyrics
- mildrage - 5:50a.m. lyrics
- juse ju - ich hasse autos lyrics
- blasson danger - tu amor se fue lyrics
- echorec - winds of time lyrics
- james brown - baby, you've got what it takes lyrics
- kydo chill - apologies lyrics
- illenium feat. blanke, 1788-l & bahari - crashing vs. destiny (feat. bahari) lyrics
- truepilot - white lies lyrics