azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dr xolly(bwana harusi) - kona lyrics

Loading...

intro

h pol…

bwanaharusiiii…

verse 1

dr xolly

natamani usinidondoshee..uniweke kwenye pochi..
ukiniacha nikakongokee..mfano wa karoti..
nitawaza nikapombekee..bora nikose noti..
na nikipata nikasondekee..kwenye sinagogi..

katoto..tutw#nge kokoto..[aaaahhhhh]
nikikashika kanatetea…[kanateteaa]

bridge

ukifika kona eeeh..
we piga honi eeeh
wasije wakabembea..[wakabembeaaaa]
eeh nahisi wataturoga..[wataturogaa]
nahisi watakuroga..[watakurogaaa]

chorus

love me..love me..baby girl love me..love me
[uni#control niku#control x2 ]

eeeehh…

love me..love me..baby girl love me..love me
[uni#control niku#control x2 ]

verse 2

ukinimiss uni#call..[call]
umenona kama korieee..

baby girl stand#up..
napenda unavyokwenda..
ukirudi ukikaa ukichutama ndo napenda..
ajabu unavyotenda..
kuichuruzisha chemba..
kisafi kinakolea pembaa..[baby girl#ting]

nikuchape kafimboo..
dereva wako mitingoo..
unavyonipa mitindoo..
isidingoo..
songombingoo..

bridge

ukifika kona eeeh..
we piga honi eeeh
wasije wakabembea..[wakabembeaaaa]
eeh nahisi wataturoga..[wataturogaa]
nahisi watakuroga..[watakurogaaa]

chorus

love me..love me..baby girl love me..love me
[uni#control niku#control x2 ]

eeeehh…

love me..love me..baby girl love me..love me
[uni#control niku#control x2 ]

outro

city of sound..

h#pol..



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...