
dr xolly(bwana harusi) - lakezonian queen lyrics
intro
mmmmmhh…yeeeh..
city of sound
ennhh…yeyeehh…iiinhhh..
mmmmmhh….
bwanaharusiiiiii…
mmmmmhh…yeyeeh..heeeiiyaah..
iiinhhh..aaaahhh
h+pol
verse 1
ukiwa mgonjwa unapona..tena ukiwaona..
yaani wanapozi k+mshinda maradonna..
sio wa vigoma..vichochoroni kona..
wanajistiri lakezonian girl..
hawakutusi na kusonya..kukujibu koma..
wanakuheshimu hata kama una boma..
nawakubali mbona hakuna wakujiona..
mola wape bless every way they go..
bridge
wana makopa kopa halafu mwanana..
makopa kopa nyodo hawana..
makopa kopa yanafanana..
makopa kooooopaaa…
wana makopa kopa halafu mwanana..
makopa kopa nyodo hawana..
makopa kopa yanafanana..
makopa kooooopaaa…
chorus
your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
your the lakezone queen..queen..(yeeeh)..queen..
lakezonian queen..(yeeeh)
verse 2
onyesha mishauwo,mashauzi maringo mideko..oooohh..
ongeza na mbwembwe halafu na kakicheko..ooyeeh..
hakika uko sweet unashinda pottato..
vi+dimpo dimpo na hivo vimacho..
hata huko nyuma kichuguu unacho..(you blast my mind)
i say mama show them what’yah mama gave’yah..
i say aaahh..show them what’yah mama gave’yah..eeiieeeh..
oooh mama then show them what’yah mama gave’yah..
aaahh..mama show them what’yah mama gave’yah..
i say show them what’yah mama gave’yah..yeeiyeehh..eeeh
chorus
your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
your the lakezone queen..queen..(yeeeh)..queen..
lakezonian queen..eeeh
bridge
wana makopa kopa halafu mwanana..
makopa kopa nyodo hawana..
makopa kopa yanafanana..
makopa kooooopaaa…
wana makopa kopa halafu mwanana..
makopa kopa nyodo hawana..
makopa kopa yanafanana..
makopa kooooopaaa…
your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
your the lakezone queen..queen..queen..
lakezonian queen..
h+pol
Random Lyrics
- davidson (deu) - du weißt lyrics
- los yacks - cuba libre lyrics
- silab n jay fella - release lyrics
- apoc krysis - targetlok lyrics
- napalm death - backlash just because lyrics
- ruffiction - oha auch krass lyrics
- nullzweizwei - flaschen jacky lyrics
- lil squeakarius - overflexed lyrics
- manicx_x - what'd you think lyrics
- vibe god - lightning (snippet) lyrics