azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dreamers - kesho yangu lyrics

Loading...

the dreamers kesho yangu
verse ( 1)

kwanza umeniepusha
na vingi vingine sijaona
tena misukosuko vigingi
magonjwa nimepona
wewee ngao yangu
niendapo unanikinga
siijui hatima yangu
kila muda unanilinda ah

kwa matendo yako
sina nikuabudu bwana
we ulie juu umetukuka baba
na huruma zako
wache wakusifu yawee
ulikonitoa nitoa baba
mavumbini vumbini
matopeni topeni

chorus
keshoo yangu kesho yangu
waijua wewee
kesho yangu kesho yangu waijua wewee
kesho yangu yeah
kesho yangu yeah
verse (2)
twafanya mambo yetu
chini ya jua
tumaini ni wewe baba (ni wewe baba)
ikiwa mimi ulinitambua
kabla ya dunia kukanyaga
wingi wa mali nisiwe kiburi
nishindwe kutoa misaada
umasikini isiwe sababu
nishindwe kukanyaga kwa ibada

twende tupande atufikishe kule
kwenye majanga atutoe
kwa uwezo wake wewe x2

chorus
kesho yangu kesho yangu
waijua wewee
kesho yangu kesho yangu waijua wewee
kesho yangu yeah
kesho yangu yeah



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...