dreamers - mtuache lyrics
verse 1
mpya nguo sina kila siku mnaniwaza mnaniwaza
eti nimepinda kila siku ninalizwa ninalizwa
si bora mngetuacha kwani mnanidaiii
sibora mngeniacha kwani mnanidaiii
aaaaah aaah
mama amekuita veronica mimi nakuita sinorita
mama sita malavidavi
telemundo temtelevida kweli shida zipo
ila mi nataka kuishii naaaa
we jua nakupenda sanaaa sanaaaaa
fanya fanya twende kwa mamaaa mamaa
chorus
aaaaaaah ye wa maishani …bring but say
aaaaaaaaah tupo kifungoni …what can i say
toto lina shape nyuma limenona nona jina
minapiga peku ile mbuzi kagoma jinaa
i swear my darli we mama laaa mama laoooo
unanipenda unanijali unanifaaaa aaah
naona nyota imewaka kila kona
kila mmoja anafurahi kuniona
kila kitu kiko shegaa hakuna nomaaa oooh hakuna noma
nipee……..
Random Lyrics
- silvertwin - doubted lyrics
- draco nasty - no title lyrics
- gucci mane & zaytoven - get geeked lyrics
- esteban (fra) - express lyrics
- professor paul - chase the money lyrics
- cheeko & volodia - claquettes/chaussettes (interlude) lyrics
- alex banin - forget about it lyrics
- groovin' bohemia - gameboy lyrics
- xr - freeverse sundays s03 e03 lyrics
- booba - sport billy* lyrics