dribbla19 - la v.i.e lyrics
niligeuza hiphop bibi, nikakosa jina ya mkidi
walisema nachizi but hao wako kwa injili
circumstance ya mjaka ni kuflex bila supper
so what ukona masters hauchezi ligi ya rapper
tikitaka iliacha marker na bado mnanisaka
senegal nilikuwa na keja ki papa diouf
enda ask nani akona messi na sio g.o.a.t
so choma keja insurance ikushike
awesome business ukiask eye+witness
pewa mdie ukinego bei ya tire
indigenous rap sh+t ikona hizi fans
high kama heli verbal tone ni ya k+medi
white kama chalk mental talk na coke
sp+ce iko x usilale nje kwa net
high on bars na sai niko september
wait for october ni celebrate kuwa member
ten b+st+rds wako kwa chamber ju ya november
na hatukuangi sober ju mwezi ni ya december
x wako huniita malcom naspit kama python
negros in liberia freedom yangu ni ya kuisema
aligwaya after wamshow your days are numbered
areas in subsription ndio tunafear
landscape ya kurap inahitaji some food for thought
ability ya kuroga huezi pata na diploma
mi ntakusoma ka gazeti ya kina mjomba
wanatry kusoma za standards na zao ziko kwa trenches
ndoto ya marekani na si mlevi ako usukani
honey niite bunbun nikupe asali
mi ntakujudge ukona mental disorder
mpenzi mkata maji leo tunakata maji
vibes and inshallah kidogo nipigie palmer
tuko weightlifting vitu za green na hatupandi miti
if you cut one plant two zetu hazishiki
peddlestone zetu nikuwaka bila mziki
thats why niko here no view once like those titties
best marketing offer came from the slowest talker
bars ziliangushwa mjini wengi wenu hamkuoga
mkabaki na soap opera si tukidhani ati mtagotha
b+tterfly tattoo ilindasiwa kwa neck
na magangaster look mbele za shoot what a move
pay me like you owe me gream ripper niitwe kobe
za stevie tunawonder mpaka siku hizi hatuoni mb’ang’a
nikona kiburi kushinda politics za oscar sudi
downgrade ya kuvuva ni kusaka pot ya shisha
hijacking ibiza ju ya underscore na filter
blackma agenda ilikuwa na meaning under the weather
mainstream wako b+tching utachezaje afro mixing
pimping si sk!ll ukiconfess it as a sin
hii race ikona manners tell a white siowi brother
ideology si same hiyo spectrum si ya ma g+y
na tiptoe kwa beat nmekuwa peter on the sea
na spit ma bars nika nimekuwa serpent wa ma verse
design natrap hii beat with no fishing cap
woke up nilipata mguu iko kwa booth
nililala ndani ya stu producer hakuwa na clue
adhd wanadance kama mickey
mouse ikona meaning sidhani ka nachizi
ki isaac newton naangusha drop na siko choo
watusip ka uji moto design nawaingiza joto
more money more problems
who you waiting for to solve them
call them usijicompare na mtu wa kayole
nikona hotline na sipigii 96
nikona eye+doll na si wa tripple 6
Random Lyrics
- buddy dml - unlock me lyrics
- andrew rannells & josh gad - "have a biscuit!" lyrics
- hirosimov - ты улыбаешься? lyrics
- chrysalis (indie folk) - july lyrics
- shadows chasing ghosts - empires lyrics
- j.r. the golden ticket - ambition lyrics
- valerie broussard - some dreams you never wake up from lyrics
- соль земли (sol_zemli rock) - трудно быть (it's hard to be) lyrics
- bonkey long - grill lyrics
- nora aunor - ang tindera lyrics