azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dully sykes - dhahabu lyrics

Loading...

nakupenda maa!
basi njoo maa!
nikila saa kabisa! uko kwa kichaa!
girl just listen,tuishi kama
heaven
nakuweka kwenye top 10
nadata na reception
mi nachoka hoi, pande zote huniboi
niite baby boy to me, achana na
toy
dozz pipo doz mapozi
sasa dozi na hisia za machozi

verse 1+dully sykes

na napenda zako nywele ndefu
zimekwenda shule
upande wa maumbile
nadata toka pande pande ile
sura yenye mvuto mashavu yenye
dimpose
sura yenye mvuto mashavu yenye
dimpose

kiitikio
oh! oh! oh! yaani soo!
nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
mtoto anavutia kila upande ooh!
mtoto anakomesha mpaka mabishoo
oh! oh! oh! yaani soo!
nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
mtoto anavutia kila upandе ooh!
mtoto anakomesha mpaka mabishoo

verse 2 + joslin

mara ya kwanza nilikutana nayе kiutani
nikampa hi! huku akinishika shavuni
am a josline a.k.a mpendwa na watu
kwasababu mi naflow style zaidi ya tatu
ye kashtuka kanif+gilia
hakuamini kama ‘basi’ nimewaimbia
mshkaji mmoja hivi ndo uliofuatia
mara akatikisa kichwa kifuani akaegemia
(ghafla akaanza kulia)
huku akinishika kwa hisia
(wasiwasi ukanijia)
k+muona demu anaridhia
anadai an+z+mika nnavyo flow
nambusu mpaka mwisho, yaani naweka fullye
hisia zangu kwenye muziki zinachoma
ndo sababu kubwa iliyomfanya anipende sana
mtoto mzuri ukimwona utampa heshima
mi namuita dhahabu ndani ya
kariakoo nzima

kiitikio
oh! oh! oh! yaani soo!
nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
mtoto anavutia kila upande ooh!
mtoto anakomesha mpaka mabishoo
oh! oh! oh! yaani soo!
nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
mtoto anavutia kila upande ooh!
mtoto anakomesha mpaka mabishoo

verse 3 + mr blu

u+lonely tena bye, mi nafurahi
niko sehemuza majani, kichwani
niko high
namuona manzii maskani, yuko
so fly
mi nawahi, najigeuza dully namfuata
nampa hi
nimeshaini kama mully, kadata
mtoto hakatai
anangaa kama gold
yeah! yeah! yeah! yoah!
anaita kama bling thing
kama dhahabu, amefika kwa king
queen wa kheri na ajabu
anakila sababu, asipate tabu
nimezimika ajabu…sana tu
yoah! hapendi pesa, hapendi show
yeah anampenda blu
washamteta hasemi no!
ye anawaona fool
noma na kabaisa ajulikana mpaka kwetu
steve unataka k+mjua?
master j twenzetu

kiitikio
oh! oh! oh! yaani soo!
nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
mtoto anavutia kila upande ooh!
mtoto anakomesha mpaka mabishoo
oh! oh! oh! yaani soo!
nimepata dhahabu mtoto wa kariakoo
mtoto anavutia kila upande ooh!
mtoto anakomesha mpaka mabishoo

bridge + dully

ohhhh! unasifiwa style
una bonge la smile
nila ‘am telling’, napenda yako smile
popote najinadi (2x)
hakuna wa zaidi, hata awe p.diddy
oh my girl sema chochote nikugee
mtoto unakata, hapo mi ndo nadata
kiuno nakamata, oh! raha n+z+pata
raha n+z+pata
go! go shorty
washa mi nidate,no story
unaponipa mate, ona sasa wameshaanza hao
nishikie, na sa walete gan tena zao

repeat chorus



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...