azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dully sykes - naanzaje lyrics

Loading...

[hook : dully sykes]
kukutesa kukupiga
kukunyanyasa yaani naanzaje?
sipo tayari uniache
yaani kukukosa mie naanzaje
vishawishi naepuka eeh
kukucheat hivi naanzaje
nimetoka mbali usiniache
kukusaliti mie naanzaje?

[verse : muau sama]
hey lazizi wewe weee
sina wasi na wewe
wali n+z+ na kamchele
waniweza wewe
ooh baby kukukataa wewe
siwezi ooh mahaba ni wee
ooh baby nadata na wewe
man am crazy kwa penzi nielewe

[hook : dully sykes]
hey boo, boo kukutupa ndo siwezi
i want you
kabisa sijiwezi niseme tu
yaani nipo kama ndezi mikono juu yeah
[chorus : dully sykes & muau sama]
and i love you too
kwani wezi wa mapenzi wakubebе juu
sijali kipenzi nitakupenda tu
najua hawawezi kujaribu boo

[hook : dully sykes]
kukutеsa kukupiga
kukunyanyasa yaani naanzaje?
sipo tayari uniache
yaani kukukosa mie naanzaje
vishawishi naepuka eeh
kukucheat hivi naanzaje
nimetoka mbali usiniache
kukusaliti mie naanzaje?

[verse : dully sykes]
wacha nikupe sifa
maana ni kama ndoto kuwa nawe
zawadi kutoka kwa mola aah
na vile unavyonipa
yaani ni changamoto mama wee
napata upepo mashallah

[hook : dully sykes]
hey boo, boo kukutupa ndo siwezi
i want you
kabisa sijiwezi niseme tu
yaani nipo kama ndezi mikono juu yeah
and i love you too
kwani wezi wa mapenzi wakubebe juu
sijali kipenzi nitakupenda tu
najua hawawezi kujaribu boo
[hook : dully sykes]
kukutesa kukupiga
kukunyanyasa yaani naanzaje?
sipo tayari uniache
yaani kukukosa mie naanzaje
vishawishi naepuka eeh
kukucheat hivi naanzaje
nimetoka mbali usiniache
kukusaliti mie naanzaje?



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...