azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dully sykes - zali lyrics

Loading...

[instrumentals intro: dully sykes & alikiba]
mbwwoke!
di gyaldems k!ller
yoh
mawazo, hey
(alright)
hey

[verse 1: dully sykes]
mawazo unakesha ghetto
usiku na ma paka
kisa mapenzi ama niunajinyima?, ah
moyo una matatizo
unapaparika, pa+pah
[?] moyo we shirima, ah

[pre+chorus: dully sykes]
kimara, ‘temboni mbali
ilala’ na nyumba kali
na moyo kw+ngu unajali
kuwa na mimi ni kama zali

[chorus]
she sound like pampa+pira, pampa+pira
pampa
pampa, pampa, pampa, pampa, pam+pah
she sound like pampa+pira, pampa+pira
pampa
pampa, pampa, pampa, pampa, pam+pah
[instrumentals]

[verse 2: alikiba]
yup!
endelea kuringa, ringa
wenzako wananitaka
sitaki kuwataja kwa majina, ah
nipe moyo, nipe roho
nikusajili basata
ili nikija kutoa nyimbo wasije wakanizima

[hook 1: alikiba]
kimara, ‘temboni mbali
ilala’ na nyumba kali
na moyo kw+ngu unajali
kuwa na mimi ni kama zali

[chorus]
she sound like pampa+pira, pampa+pira
pampa
pampa, pampa, pampa, pampa, pam+pah
she sound like pampa+pira, pampa+pira
pampa
pampa, pampa, pampa, pampa, pam+pah

[instrumentals]
[outro: alikiba]
kimara, ‘temboni mbali
ilala’ na nyumba kali
na moyo wa kw+ngu mali
na wewe ndio nnaye kujali



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...