dvk & vikta mirage - jacaranda speech lyrics
[intro: vikta mirage and george wajackoyah]
skia basi, nyi ni ma+biatch
naitwa vikta mirage, huu ni dvk
tumekam kuwachafulia hii sector (bangi, eh!)
akisha hizo mangwela ndio tuskie poa, unajua? (bangi, ah!)
(bangi, oh!) ehh (bangi, eh!)
kila msee anarada vile si hufanya hii mambo, yo (baas, wacha niongee sasa)
[verse 1: vikta mirage and dvk]
ka ushaskia gomorrah, mi narada sodom
mahali sewage ni raw ka nginyo bila condom
mali za magendo zishapelekwa soko
chwara ni ya kc, chapa sip uskie joto
na hio chwara ndio bado namanga nayo posho
ka hupendi kuoga, utaoshwa na mwosho moja
niko outer road ka saunya au bata ngoma
usitake kujua mapua ngapi zi hu+sniff hii powder
fika waiyaki way, ushikwe na wakora au cancer ya kifua
majority ya residents kangemi wako poor
na ukipata mboka, ni kukata tu maua
au gates za wadosi utafunga na kufungua
ambia wasee eti unafanya works waruku
uone vile macho zao zitaanza kukushuku
wata+assume hujawai enda chuo, husomi mbuku
probably unateka wamama sufuria na kasuku
wakiona dvk kwa corner wanachoka
wana+feel presence ata kama nimemonjoka
nikicheza gambling utaskia nimeomoka
nikicheki kanyari, we jua nishaokoka
buda boss hajawai pona homa tangu corona
utaskia aking’orota hadi throat akikoroma
na wakieka full stop, bado siezi koma (ginton, come and say hi!)
we ni dead man walking, walking (yo)
[verse 2: dvk and vikta mirage]
my fort eerie ’cause i’m known to murder beats (known to murder beats)
sipping while i’m scribbling my jacaranda speech (jacaranda speech)
can i please get another cider or a beer?
dvk, also known as rhymer of the year (year)
wiper of careers, rising cause i’m grinding over here (‘reer, here)
bars with more power than you’ll find at olkaria (f+cking b+tch)
so gimme the cash for christ’s sake, getting older, dear (uh)
tryna plot on the wine tastings with sommeliers
it’s “sommelier,” oh, forgive me (forgive me)
put down the mic, your sh+t is caca, so stinky (you guys are f+cking wack, man)
had the lady going gaga for this d (ehen)
taken from the back by the king, kaka, like nana owiti
slinging jokes up at two grapes (slinging jokes)
heard the homie front row got his food laced (homie front row)
thought he had good taste, woke up in the plains with a bruised face
pockets claimed, run the chums, mate (ayayayayaya)
when i rap i bring the pain, like the n+gga that screwed ace (screwed ace)
[outro: dvk, vikta mirage, lilian muli and mukhweya local]
f+cking b+tch
p+ssy n+ggas, you better lay down
you understand the game? f+ck you b+tch
and self+confessed child serial k!ller masten milimo wanjala
was today lynched at mukhweya in bungoma county
a few kilometres from his father’s homestead
sasa hio wakati aliniambia, mi nika—
nikasimama, nachukua chapo, nikaangalia
nikaona ni yeye, nikamwita jina, “masten!”
akakataa sasa, sasa vile nilimwita akapindua kwa fence
halafu sasa mi nikaacha chapo, nikamfuata mbio
akaenda kwa mzee kwenye alikufa hapo
Random Lyrics
- lino - tant que la foule braille (rien à foutre) lyrics
- mdns - sourire à la mort lyrics
- thatkid polite - get da bag lyrics
- victor la voz oficial - baby choco (remix) lyrics
- super american - drowning lyrics
- roos and the kangaroos - sädeleb kui jää lyrics
- sushin shyam - aadharanjali lyrics
- snot marley - sky hideout lyrics
- time just kills - fck tht! lyrics
- trans-siberian orchestra - vienna (narration) lyrics