
dyana cods - get busy (feat. toxic lyrikali) lyrics
[verse 1: dyana cods]
bruk it up bruk it up bruk it up all night
evidence ni venye unafeel nice
siongei juu ya wada nikisema ilirain twice
mraa, must be nice
nabadilisha jina to khadija copper
world boss, ni mimi ndio wanafaa kukopa
this year sidai form za ma window shopper (never)
vitu ninabuy zikuwe zimejaza commas
[chorus: dyana cods]
mraa, ni ma+hotline bling anadai ameteveva
itabidi umejileta
nimkamatie chini my guy see you later
form ya leo ni kukesha
get busy with the girl, get busy with the girl
joh asante kujileta
get busy with the girl, get busy with the girl
joh asante kujileta
[verse 2: toxic lyrikali]
very super nakazia kuingia na exit
nateleza nao wote niko na payslip, healthy
nawageuza geuza, mandom napurura
nawatupia lugha tufanye waters testing
juzi, nachambua kuongeza mchuzi
na+naeza kanyagia riba zote za juzi
na mmejaza ujuzi bubbly ka jacuzzi
na tafadhali usitupangie harusi
njepi bado ukisleki
get busy niko busy na my lady
kwa rada niko only inn ka hujauma njei
kuna msee ameingia na jil na amekata kreti
mkulima akarudi home na matunda sixteen
ni beshte ya me siko insecure na mbling
mashawry wameshona wako ready ku+receive
through pass arif, mrazi delete
[chorus 1: dyana cods]
ni ma+hotline bling anadai ameteveva
itabidi umejileta
nimkamatie chini my guy see you later
form ya leo ni kukesha
get busy with the girl, get busy with the girl
joh asante kujileta
get busy with the girl, get busy with the girl
joh asante kujileta
[chorus 2: dyana cods]
ni ma+hotline bling anadai ameteveva
itabidi umejileta
nimkamatie chini my guy see you later
form ya leo ni kukesha
get busy with the girl, get busy with the girl
joh asante kujileta
get busy with the girl, get busy with the girl
joh asante kujileta
Random Lyrics
- 19:84 (ru) - 19:84 lyrics
- nattali rize - freedom lyrics
- vyletti - tornapart lyrics
- wifiskeleton - dont let the door hit you on the way out (og) lyrics
- vantgrave - already real lyrics
- arteline & deelehan - no chance lyrics
- goncalo08pt - fica pra depois lyrics
- рыночные отношения (rynochnye otnosheniya) - очаг (hearth) lyrics
- nuno leão - dez sorrisos lyrics
- kynlary - she want pandora on her lyrics