artists: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

diamond – kamwambie lyrics

Loading...

by,
(aaron almarchius)

nenda kamwambie aaaah
kwa jinsi nnavyompenda mii aaaah
na kama mapenzi bado aaaaah
mwambie nitayaongeza mi aaaah
nasema kamwambie aaaah
kwa jinsi ninavyompenda mi aaaaah
na kama mapenzi bado aaaaah
mwambie nitayaongeza mi aaaah

sio ningie mori, nyota na mbalamwezi
ah viwe mali yake yeye
natamani ila tatizo siwezi
huenda ingefanya anielewe
aaah onaae
si yeye alinifunza mapenzi
nilikua sijui kamwambie
akanidekeza kishenzi kwa nyimbo nzuri nimwimbie

so asidanganywe na gari burudani na fedha
mimi akanichukia
akalishusha thamani penzi ninalompenda kisa mvinyo na bia
asidanganywe na gari burudani na fedha
mimi akanichukia
mmmh mwambie asisikie mapenzi moyo w-ngu unaumia
eeaaaaaah

nenda kamwambie aaaah
kwa jinsi nnavyompenda mii aaaah
na kama mapenzi bado aaaaah
mwambie nitayaongeza mi aaaah
nasema kamwambie aaaah
kwa jinsi ninavyompenda mi aaaaah
na kama mapenzi bado aaaaah
mwambie nitayaongeza mi aaaah

nasema siku hizi huaga hakuna fungate
mapenzi hayana thamani
hivyo mwambie wanaompenda wachache
wengi wanatamani
aaauuu wanaanzaga pata afadhali
wakishapewa wanapotea
nenda mwambie ajihadhari na dua njema namwombea

so asidanganywe na gari, burudani na fedha
mimi akanichukia
akalishusha thamani penzi ninalompenda kisa mvinyo na bia
asidanganywe na gari burudani na fedha
mimi akanichukiaa
mmmh mwambie asisikie mapenzi moyo w-ngu unaumia
eeaaaaaah
kamwambieeee x 8

nenda kamwambie aaaah
kwa jinsi nnavyompenda mii aaaah
na kama mapenzi bado aaaaah
mwambie nitayaongeza mi aaaah
nasema kamwambie aaaah
kwa jinsi ninavyompenda mi aaaaah
na kama mapenzi bado aaaaah
mwambie nitayaongeza mi aaaah

(end)


diamond - kamwambie lyrics are property and copyright of their owners and provided for educational purposes and personal use only.