azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

e-breezy & fei - killer lyrics

Loading...

verse 1 (fei)
kila napo anzia naona mwisho/maisha niliopitia siogopi hata vitisho/ nime lala jana lakini mi ni naota kesho/na kwenye ukweli mwingi lazima uongo uwepo/ home na mti wa pesa, njoo upunge upepo/na usione so kuibuka soweto/ rhymes zangu zina choma kama vile moto (k!ller)/hupo kwenye njia pisha,na natembea kwa mapozi ka napiga picha/mgumu kama n+z+ na nimetoka chicha,nawapeleka shule kama vile teacher/flow ya nightmare na ndo maana mi natisha/rap ni mlango na hodi nichabisha, nimekuja kubadilisha/ a town ndo nawakilishaa/flow ya kuhamasicha, roho chafu nasafisha/(yeah) ni nani ana bisha/

verse 2 (ebreezy)
nikitapika nawafunika,ndio nipo jikoni napika/time is money na mdaa w+ngu umefika/it’s been a thriller no need of mj zipper/i got bars kama vile nipo jela zipi nawapa moyo masela/such an acid what a classic/got more tactics then mathematic/do more practice then acrobatics/aiming higher,success is my desire,that’s why i’m on fire,no sayanara/re do tracks cause they aint got enough facts/deliver my rhymes like a cargo,yeah i’m a bull like chicago,niko pande mbili ka kipago/nimepitia giza niite shadow/

chorus (fei)
nime amuwa kubadilika, hata kama jua kali i make it rain kwa masika/i’m a k!ller(x4)
na na flow ya uhakika you know i’m on fire na siwezi zimika/ i’m a k!ller (x4)

verse 3 (ebreezy) & (fei)
came,saw about to conquer, imagine what’s going to happen after/do damage faster then viper/i changed the chapter, not even a pastor/this is the wolf pack and im the alpha/
(fei)
na mie nafuata, nimekuja kuwapiga mbata/hip hop ni ngozi na mie ndo baka, na speed up fwasta/nimekuja kuziba nihite kiraka/pesa nataka kamaa saadaka/nimeowa rap na sitoei talaka /

(ebreezy)
usiwe na chaka hapa kusaka, hali halisi tuna wateka, kama vile fisi tuna wacheka (crowd laughing)

chorus (fei)
nime amuwa kubadilika, hata kama jua kali i make it rain kwa masika/i’m a k!ller(x4)
na na flow ya uhakika you know i’m on fire na siwezi zimika/ i’m a k!ller (x4)
(repeat the chorus once more)

beat fading away slowly



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...